Habari za j2 wana jf, kama mjuavyo vuguvugu la siasa za uchaguzi bado linaendelea, ktk pitapita nimekutana na mjadala kuwa mnyika na halima mdee ni wachumba. Naomba mwenye habari atujuze. Nawasilisha.
Bibi kizee baada ya kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa ikabidi apelekwe dar es salaam kwa Uchunguzi wa moyo. baada ya kumpiga x-ray ya moyo,doctor akamwambia;
bibi tumekuta moyo wako umetoboka...
MP's speech when the
president(then Moi) visited his
place
Baba wanasema Kenyatta ni
hayati lakini wewe ni hayati
kabisa. Nashukuru sana baba wa
taifa kwa sababu ulihaidi kunya
hapa...
An Arab was admitted in the
Dar es salaam Hospital for a heart
operation, but prior to the
surgery the doctors needed to
store his blood in case need
arises. As the gentleman had a
rare type...
Nimeshtuka na kushangaa namna wananchi wa north korea wanavyomlilia kiongoz wao kwa uchungu na karibia wote wanalia,hio inatokana na mazuri aliyofanya kim jong,je apa kwetu tz kuna mtu au kiongoz...
Wadau naombeni maoni/ ushauri wenu kuhusu hii simu nlopokea-ni kisa cha ukweli sio mzaha.
Ilipigwa zaidi ya mara kumi usiku kucha kuanzia saa saba.Ni namba ngeni(haikuandika jina) na sikupokea...
HII NI KALI YA KUFUNGA HISTORIA YA ULIMWENGU.
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh Mama Kaela (50), amefanya uamuzi...
mwezi mmoja baada ya kufunga ndoa, mama mmoja alimpigia binti yake simu; Na mazungumzo yao yalikuwa hivi
mama: unayaonaje maisha ya ndoa mwanangu?
binti: kama BRITISH AIRWAYS
mama hakumuelewa...
Basi bwana. Nikajifungulia kiakaunti changu facebookili nisocialize kama wengine.Unajua tena mambo ya siku hizi, mtu unataka uwemo usibaki nyuma. Siku moja nkatembelea hicho kiakaunt nikakuta...
haya mabenki ya hapa nchini sijui yakoje bwana
nilikuwa na mpango wa kumtolea mungu sadaka ya shukrani
nimezunguka atm kibao mjini hola yaani nimetoa sadaka ambayo sio halali kwa sababu ya...
Kila mmanzi ninae kutana nae ktk maisha yangu akanipenda kwa dhati bac lazima awe ana damu ya kihaya...sema mwenyewe tu huwa nawazingua watoto watu..kuna mwingne humu jf mwenye bahat ka yangu jaman?
Wengi wetu hujikuta tukifuata bendera kwa kusherehekea mwaka mpya.
Lakini hebu mwana JF mwenzangu nijuze kuwa unajivunia kitu/vitu gani (targets) gani ambazo ni mafanikio kwa mwaka huu unaoisha?
1. Dear, kodi ya pango inaisha January 2012 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!'
2. Baby, xmas itakuwaje nataka nikafanye shopping Mariedo. Na nataka kwenda kusuka mwenge, naomba...
mimi binafsi nilichekeshwa na kichekesho cha wangoni na masista kujaza mafuta kwa mkojo pamoja na cha punda kujazwa mafuta na mwenye punda kuinama kujazwa mafutani hapa nilipo nimebana mbavu zangu...
OLE WAO ......WATAWALA WA .....TANZANIA!!...........WALIOJIGEUZA MBWA MWITU!! .......WATANZANIA WALIOCHOSWA NA DHULUMA NA WIZI WENU UHUJUMU UCHUMI WENU USALITI WENU.......wameapa na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.