Love is like a flower
It can grow old or disappear in an hour
Love is so sweet when two people share
But it hurts so bad when one doesn't care
Love is based ön trust
Only to make it last...
(Sista Benadeta akimsimulia sista Marieta yaliyomsibu alikotoka).>>>>> (SISTA BENADETA):Basi bwana,nikawa nikiongeza mwendo na yeye anaongeza,kila kona ninayokata na yeye yumo,nikajua ana malengo...
Mtoto kamkuta baba yake anasoma gazeti kwa kumshtukiza akamwambia baba baba SHELI INAUNGUWA.
Baba kwa kushtuka akamuuliza mtoto wake sheli gani?
Mtoto akaanza kukata viuno huku akiimba SHELI NA...
Ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya JF. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana...
PTUUUUUU hEBU TEMENI MATE KWANZA...
Hivi mwanamke ni kuvaa tu nakupendeza?
yaan kuna mdada maridhawa mrembo tena
mpana mijisifu kibao kuna siku nilikuwa kwake
twapiga story mbili tatu...
Elia
JF Senior Expert Member
Join Date : 30th December 2009
Location : magogoni
Posts : 2,492
Rep Power : 803
nawashukuru members wote hapa JF, Mods, marafiki niliopata, junior...
Nilikuwa napuuza maneno mengi ya wana JF humu humu ndani kuwa Mods wanafuta thread zinazomhusu kikwete..lakini kuna kamtego kamoja jamaa yangu alikaweka ili kudhibitisha madai haya kakafanikiwa...
Ndungu wanafamilia wa familia ya jamii foram,sinabudi kuwatakikia afya,furaha njema katika kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012,kwa amani na upendo,sinabudi kuwaombea wote walio tutanguli...
Wanawake wafanya biashara sokoni wananifurahishaga sana ninaposafiri nao kwenye daladala. Sikiliza mazungumzo yao niliyoyanasa siku za karibuni
Mama wa kwanza: Mama Upendo, mwanangu Robert...
Huu mwaka 2011 nahisi ndo mwaka mbaya kuliko wote...
kwa ujumla wake.......nahisi watu wengi wana hamu na mwaka mpya 2012 uje haraka...lol
hebu tazama haya tu
1.tsunami ya japan wamekufa maelfu...
Siku moja wanafunzi wa kidato cha nne walikuwa wanafanya mtihani wa Civics...wakakuta swali linalouliza kuwa " Draw and label the female reproductive organ yaani uke.
Dada mmoja alijaribu...
Hivi ikitokea kukawa na party ya wana jamii forum au mkutano utakaojumuisha wanajamii forum wote wanaochat na kuchangia mada mbalimbali humu jamvini tukaonana uso kwa uso na kuchangia hizi mada...
Hivi ni kweli kwamba kuna mtu anakuwa anachukiwa bila sababu,yaani kwamba kazaliwa tu hivyo.
Acha ile hali ya kawaida kwa mwanadamu
kuwa hawezi kupendwa na wote,hata manabii hawakupendwa na...
Jina: Ousofia
Jinsia: ya kiume halafu namtafuta mrembo atayenifaa
Cheo unayotaka: Rais au makamu wa kampuni,ila sipendekezi sana hizo nafasi mpaka mtakaponiajiri kwanza.
Kiasi cha mshahara...
After having failed his exam in "Logistics and Organization" , a student goes and confronts his lecturer about it.
Student: "Sir, do you really understand anything about the subject?"...
Mke kanunua line ya airtel
amsurprise mumewe, Mume
amekaa sitting room, mke
akaenda jikoni akampigia mume
na number mpya akasema
"HALLO DARLING", Mume
hakuijua number akajibu kwa
sauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.