JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dilbert's "Salary Theorem" states that "Engineers and scientists can never earn as much as business executives, sales people, accountants and especially liberal arts majors." This theorem can now...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dia Amina nimekuja toka nje basi leo nimekukumbuka sana,hasa penzi lako lilivyo Zito kwangu yani mithili ya chuzi zito zito lenye rojo la samaki kitonga,aliyeungwa na nazi3,pilipili, na ngongwe...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
0 Reactions
23 Replies
15K Views
Siku chache sana zimebaki kuingia mwaka wa 2012.. Mwaka wa 2011 umetuletea New artist and new songs. baadhi ya nyimbo ambazo nimezipenda mwaka huu ni zifuatazo hapo chini.... Je wewe ni zipi...
8 Reactions
78 Replies
7K Views
Leo nilikuwa mitaa ya temeke jijini dsm,tulikwenda kwenye arobaini ya jamaa yangu,nilichokiona hadi sasa sijaamini!kama kweli binadamu tumefikia hatua hiyo,kama mjuavyo siku ya hitima wafiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha zake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naomba kumwona meneja mkuu wa benki hii"Mfanyakazi wa mapokezi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sikujua kaoa mke mshamba asiyejua U...me wala mapenzi. Usiku wa ndoa, mke kamuuliza mume "hiki ni nini?" Bwana kajibu,"yaitwa pombo.....pombo ya u..me. Ninayo mimi pekee duniani. Sikujua kasafiri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani za kale kulikua na vita huko MISRI. Nyerere na Kawawa walikuwa moja ya wapiganaji wa vita hvyo. Wakati vita vimenoga ikatokea njaa kali. Nyerere akanyanyua kaa la moto akamwambia Kawawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii nimeikuta mchuzi. Inachekesha ila ina ka ukweli ndani yake! Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za yesu.."Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Waungwana, kuna majina ya ziada (a.k.a) mimi huwa yanayonikosha sana, ..na aya ni baadhi ya machache 1. Anne Makinda a.k.a Mama Posho 2. JK a.k.a Vasco da Gama 3..........a.k.a mzee wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nyoka alikinyagwa na panya huko mwituni mahojiano yakawa hivi Nyoka:dogo mbona tunakanyagana? Panya:sore braza bahati mbaya Nyoka:bahati mbaya?lione jitu digo midevu kibao Panya:we ni aje kubwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Quote: "Mwalimu haya ni maisha yangu... nimejitahidi kusoma kadiri ya uwezo wangu lakini siwezi kujiamini asilimia 100% kwa somo lako na mtihani ni jumatatu nitahitaji msaada wako kwa namna yeyote...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi. Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Mwaka ndo huo unaisha, je umejiuliza mapenzi yamekufanyia nini? 1.umetumia sh ngapi ukiwa baa na mademu ? 2.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu, 3.umetumia sh ngapi kununua vocha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja alikuwa anashangaa sana maana kila akiweka whisky yake kwenye fridge akija kuiangalia baadaye anaikuta imepungua,siku moja akiwa pamoja na mkewe akaamua kumuuliza house boy wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mpemba mmoja alikuwa ana angalia movie ya kimarekani ikawa kila mara alikuwa ana sikia hili neno MOTHERFU,CK kama mara 50 akashindwa kuvumilia ikabidi aulize "jamani nhyu mamaye faki ni maarufu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau,watu wanasema malumbano na ugomvi wa kila siku baina ya wapenzi ni sign ya kutopendana,je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka enzi zile............... siku chache kabla ya sikukuu kama hizi za Krismas na Mwaka Mpya tulikuwa tukiomba kununuliwa nguo za sikukuu. Endapo mzazi asipokununulia basi sikukuu haina...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom