Ongeza maneno yako hapa au unipm kama unaelewa maana ya haya maneno;
KIZOTA, KUNYETA, ZERO BRAIN, SUPP, MKANDARASI, UWANJA WA ZEGE, DEO, MGANGALUMA, MK, BLOCK7, KAYUKI, nk.
Hebu changia tu kama...
Hatimaye leo sheli ya big born umegeuka kuwa uwanja wa ngumi.
Kasheshe hiyo ilisababishwa na kugombea mafuta (petrol).
Sheli hapo kulikuwa na msongamano wa magari mengi sana na wanawake...
[WIKIPEDIA],Najua kila kitu.....................................[GOOGLE]=>Nina kila kitu.....................................[FACEBOOK]=>Ninamjua kila...
A young man who applied for a job in a reputable organization made a very good impression during the interview until when he was asked about his salary expectations...
Manager: What SALARY do you...
Mbele ya mtumishi wa Mungu mwanaume akafungua zipu akaitoa akaiangaliaa! na kuanza kuiingiza taratiibu kwa mchumba wake,huku mwanamke machozi yakimtoka kwa raha aliyokuwanayo mpaka ilipoingia...
Nawashukuru wale wote walionikaribisha vizuri hapa JF. Naahidi kuwa mwanachama mtiifu. Kwa wale wote ninaofananishwa nao watakuja wenyewe kukanusha.
I am Who am...
1.mpango mkakati.
2.megawati.
3.wahisani.
4.wawekezaji.
5.mkopo wenye riba nafuu.
6.libeneke
7.mgao.
8.gamba/magamba.
9.demokrasia ya kweli.
10.tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
11.fitina...
Wakubwa kumekuwa na vifupisho vingi sana venye maana tofauti sana na iliyokusudiwa hebu tuviangalie baadhi yake;-
PCM-people calculate llke machine
PCB-People confuse brain
HKL-Hakuna kusoma...
Why is it that Tom
never really eats Jerry...????aaah mi nimechoka kuona wakikimbizana kila siku!!!!NI LINI ATAMLA KILA SIKU NIMEKUA NIKISUBILI NA SASA NDEVU ZANIOTA LAKINI BADO TUUUU!!!!
Wakubwa wakati tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya nisingependa kuona tabia hizi tunaingia nazo mwaka mpya,
kumnunulia demu chips kuku halafu we unaenda kula mihogo
kumnunulia demu bia...
Ni maamuzi magumu lakini naomba niyafanye. Nimekuwa nikiandamwa sana na baadhi ya member wa hapa JF kuwa mimi ninachafua post nyingi humu ndani hasa jukwaa la jokes, watu wanaoniandama wengi...
Ni siku nyingi sijakuwepo ktk safu hii, hivyo sijuwi hii kama ilishawekwa au laa.
Mwalimu kauliza darasani: "kwanini tunasema mapenzi ni bora kuliko vita?"
Mwanafunzi mmoja akanyanyuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.