Ile blog tata ya zeutamu imerejea upya, ni vyema waungwana tukachukua tahadhari ya mienendo yetu kabla hatujajikuta tunaumbuliwa na hawa wanaojiita ni mtambo wa kurekebisha tabia.
Mmezungumzia siredi bomba mi nakuja kuwauliza ile iliyoboa zaidi,najua hapa kutakua na ugumu usiogope taja tu!Hakuna atakae kughadafi!!Mi yangu nitataja mwisho wa siredi hii usiku wa kuamkia mwaka...
Siku moja nyani alichoka kuishi akatafuta all means ya kujiua akashindwa!akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe!basi alienda akamtia kidole" NYUMA"mpka simba akaamka.simba...
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi...
Timu ya coventry city inayoshiriki ligi daraja la pili nchini uingereza inafanya mchakato wa kumuombea ATC kijana Deogratius Didas Masaburi ili aweze kuichezea timu hiyo.
Haya ya dunia nia makubwa eti bibi ataka apewe ndege yake adai hana ntoto hata mmoja songea kisa kaanguka
usiku akiwa safarini ha ha ha ha ha ha ha !!!
Dogo mmoja akiwa road akiwa kavalia kandambili chakavu zilizo na mishono zaidi ya mia moja.
Gafla kandambil hzo zilikatika. Dogo akiwa anaangaika kuzitengeneza mara atatokea babu mmoja ambaye...
Dear Sir
I refer to the recent death of the
Technical Manager at your
company and wish to
apply for the replacement of the
dead manager.
Each time I apply for employment
I am told there is...
Japo nia ni kujaribu kuvuta wateja kununua ving'amuzi vya Star times, pengine ubunifu unahitajika katika kuandaa matangazo. Lile tangazo la Star Times linalorushwa na TBC-1 likimwonyesha Kanumba...
Nimeenda tanga na rafiki yangu john kuwasalimia. Jirani yao mzee xxxxx ana binti mzuuuri mwajei,ila nikatahadhalishwa kuwa nisimguse maaana yatanitokea makuwa ila nikabisha. Nikapiga saunti binti...
Shikamoni kina dada wa kike na wa kiume
Nimewamiss sana. Nilienda nje ya nchi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho ya umri. Wataalam wamefanikiwa kupunguza umri wangu mpaka kufikia miaka 30 tu...
Phrases huwa zina originations...Ingia humu kama unataka kujuwa baadhi ya maneno yalikoanzia...
WORDS, PHRASES or SAYINGS - Origins, Meanings by Brownielocks.
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji...
padri alikuwa anafuga......cku moja jogoo wake mmoja alipotea akaamua kutangaza kanixan
PADRI;Waumin wangap wanajogoo?
Wanaume wote wakasimama.......
PADRI; akasema sio hivyo ni wangap...
Wakati wenzutu wakiwa bize kubanana, kuwajibishana, na kutekeleza mipango yao ya kimaendeleo kwa umakini wa hali ya juu. Sisi viongozi wetu wapo wapo tu, huku wakiwa wazito wa kuja na fikra mpya...
kadiri siku zinavyosogea kuelekea mwaka 2012 nazidi kuwa na hofu kwa sababu ya mambo yanayoendelea ulimwenguni ikiwa ni mapinduzi katika nchi za kiarabu na mgogoro juu ya iran na marekani, mwaka...
atakae kamatwa na album fake ya twanga pepeta atacheza nyimbo zote za twanga hapo hapo on sport bila kukosea steps-asha baraka.:nerd: mama comedy yule mh
Mwanamke mmoja alikuwa haridhiki jinsi nguo zake zilivyokuwa zinafuliwa zikipelekwa kwa mwenye mashine za kufulia.
Siku moja akampa mtu ampelekee jamaa mwenye mashine afue nguo na kumpa karatasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.