JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama ilivyo kawaida yetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inajiaandaa kuunda tume huru ya kuchunguza chanzo na athari za mafuriko yaliyotokea jijini dar es salaam ndani ya hizi siku mbili.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wavuta bangi wawili waliliona embe juu ya mti wakaamua kuliangusha.Walirusha mawe mengi bila kufanikiwa kuliangusha lile embe.Mvuta bangi mmoja akasema;isije ikawa embe lenyewe bichi,ngoja nipande...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Bosi wa Tanroad aliwapeleka ma-contractor watatu(mtanzania,mjerumani na mfaransa) kwenye daraja linalohitaji ukarabati ili wapige makadirio wanahitaji kiasi gani. Contractor Mfaransa akalipima...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu alimuuliza mwanafunzi wake: Mwalimu 'gari kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu 'CAR'. Mwanafunzi wa pili akaulizwa, Mwalimu 'baskeli kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
[1]Katika viumbe vyote ni binadamu na dolphin pekee ndio hufanya mapenzi kwa kujistarehesha,wengine hufanya kwa ajili ya uzazi.>>> [2]Ukimkuta Nyati anaoga atajitahidi kadri anavyoweza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Last week niliitwa kwenye kikao cha kesi ya kifamilia. Mimi nikiwa mmoja wa viongozi wa serikali ya mtaa nilikuwepo kikaoni kwa nafasi yangu. Shtaka lilikua baina ya Mke na Mume, ambapo mke...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nachinja ngamia,bata bukini,bata mzinga, na mishkaki ya swala! Ciaos!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Huu uzi umepotelea wapi tena?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi, namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndio nimerudi jana kutoka Mbekenyela Lindi kusimamia Harusi ya Shoga yangu, hamjambo wana JF wote! nawatakia sikukuu njama za X-Mass na Mwaka Mpya, Inshaallah Mungu akipenda nitakuwa Jijini Dar...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
"Mwenzio nina shida kubwa sana najua wewe ndio wa kunitatulia shida yangu,naomba uniazime sh laki tatu tu nitakurudishia wiki ijayo,najua unazo" alisikika Wa kusoma akiiomba ATM moja(jina la benki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi mtarajiwa,yeye huwa havai nguo za ndani,watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi,akasema narudia tena na sijakosea,yeye huwa havai kbs nguo za...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau pokeeni salamu zangu mi ninaenda zangu vijijini hakuna network.nawatakia mafanikio ya mwaka 2012 na Hongera sana JF kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi, namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Superb answers They should fire the examiner who set those questions Answers of a Brilliant student who obtained 0%Q. In which battle did Tipu Sultan died? A. His last battle. Q. Where...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
if you know what im talking about
0 Reactions
2 Replies
932 Views
What happens first always appears better and more original than what comes after. If you succeed a great man or have a famous parent, you will have to accomplish double their achievements...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeamua kuja kupumzika Lindi nikisubiri sikuchache zilizobaki ziishe kabla 2011 haujabatizwa jina jipya liitwalo mwaka jana.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
We won't be impressed with tenchonology until we can download food!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom