Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant spends an entire year working to...
Kuwasamehe wafungwa, waliotukosea na kuanza. Tunawaomba invisible mwasamehe wale wote walipigwa bann za kudumu na za muda. Plz msimusahau WA KUSOMA, mwacheni huru tumemmis jamvini.
Nawasilisha...
Tuache ubishi na vichwa ngumu....aisee maisha ya majuu ni kubwa kuliko zaidi ya haya ya Bongo mavumbini.....Majuu ninayoizungumzia sio ile ya Slovania,Romania,Ureno na wenzie....majuu hii ni ile...
Salam zangu kwako msomaji, niko vema kiafya, kisaikolojia na hata kiutamaduni pia.
Kuna haka katabia kapo mitaani kanatokea kwetu, marafiki zetu na ndugu pia. Ni hii tabia ya mabinti (hasa wa...
Kuna jamaa mmoja alikuwa stranded katika kisiwa fulani.Pale kisiwani palikuwa na mti mmoja tu.Yule jamaa akaukata ule mti ili aandae mtumbwi utakaomsaidia ku-escape pale kisiwani.Mara ghafla...
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu, watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika;
AT LAST SHE SLEPT ALONE!
Tarehe 25/12 itakuwa ni siku ya xmas lakini pia itakuwa siku yangu ya kuzaliwa so kwa wale wenye mapenzi mema naanza kupokea zawadi kuanzia sasa halafu mi mtanidai siku nyingine...............
Mwaka unaoelekea kuisha sasa nimekuwa naruka ruka sana (Ujana) sasa mipango yangu ya mwakani ni kuhakikisha naweka jiko ndani.............. This appears on top of my To Do list ya mwaka 2012. Ila...
Some of the great discoveries made by man and woman!!!!!
Man discovered Colours and invented PAINT,
Woman discovered PAINT and invented MAKE-UP.
Man discovered WORDS and invented...
Muhuri wa Utengano wa JF
Idara ya Siri, Habari na Mwasiliano - Makao makuu
P.O. Box 2011
Da Lala Salama
Taarivya kwa byombo bya habari
Ifuatayo ni hotuba ya Mheshimiwa sana Yutong (MB)
Ndungu...
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu,watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika;AT LAST SHE SLEPT ALONE!
Jamaa alisingiziwa kuwa kaiba,waliomkamata waliamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji,waliamua kama ni yeye wampe kichapo mpaka afe,walipofika walimwambia nganga tutakupa hela kama utasema kweli...
Wakubwa tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuufungua mwaka mpya najua kila mtu atakuwa na staili yake ya kufungia mwaka siku moja kabla au masaa machache kabla ya mwaka mpya.
Binafsi ntakuwa...
Leo majira ya mchana nimepigiwa simu na rafiki yangu akinijulisha msiba uliompata mdogo wake kutokana na hizi mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar.
Mdogo wa huyu rafiki yangu amempoteza...
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.