JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
‎Mambo matano tunapokuwa kwenye mtihani 1.Tunarudia kusoma maswali tukidhani majibu yatatoka kwenye yale maswali 2. Kuangalia kila upande wa darasa ili kujua kama wanafunzi wenzako...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
kuna jamaa mmoja aliiba kuku mitaa ya uswahilin akakimbia mpaka akafika karibu na ziwa hakuna sehemu ya kukimbilia. Akamchukua akamnyonyoa fasta alafu akamtupia kwenye maji yule kuku! Watu wakaja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Umri wa Mama ni miaka 21 zaidi ya Mwanae.Baada ya miaka 6 kamili kutoka sasa,umri wa Mama utakuwa mara 5 ya umri wa Mwanae. SWALI:Baba wa mtoto huyu yuko wapi?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
SOLIDARITY FOREVER 1. When the union`s inspiration Through the workers` blood shall run, There can be no power greater anywhere beneath the sun, Yet what force on earth is weaker than the feeble...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu wadau..! Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisi chofahamu.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Some animals considered the smartest and most intelligent others are just stupid: Here is a list of top 15 smartest animals on our planet. Welcome to Eco Cultures Tours & Travel 1. Great Apes; 98%...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello,I want to meet new friends from all corners of the globe
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A guy walks past a mental hospital and hears a moaning voice "13.......13.......13.........13" the man looked over to the hospital and saw a hole in the wall, he looked...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani nawatakia sikukuu njema,,,,,na Mungu awatangulie...:angel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale mliokuja/ mnaokuja/mtakaokuja moshi kwa ajili ya siku kuu hii. Napenda niwape tahadhari mapema. Muwe makini na wizi, moshi kuna mbinu tofauti kabisa za wizi. usijesema wewe mtoto wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ingekuwa vipi kama tungejioganize na kujuana wapi pa kuweka vituo ili tukutane wana JF na kubadilishana mawazo. Mimi niko Manispaa ya Bukoba; kama kuna members tafadhali tufahamishane. Wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF wote, ninawatakieni maadhimisho ya Krisma na Sherehe njema za Mwaka Mpya.
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapendwa tarehe kama leo nilizaliwa,namshukuru Mungu kwa anavyonipigania.Nawatakieni christmass njema na mwaka mpya wenye mafanikio.zaburi 23.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Some animals considered the smartest and most intelligent others are just stupid: Here is a list of top 15 smartest animals on our planet. Welcome to Eco Cultures Tours & Travel 1. Great...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Saluni ya urembo inayomilikiwa na William Porter Sunday, December 04, 2011 7:58 PM Mwanamke mrembo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25 tu amekiona cha moto baada ya kukubali kuolewa na babu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
If you kiss her, you are not a gentleman, If you don't, you are not a man. If you praise her, she thinks you are lying, If you don't, you are good for nothing. If you agree to all her likes, you...
8 Reactions
100 Replies
5K Views
Kwa nini hapa JF kunadondoka snow? kwa nini isidondoke mvua?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali kuagiza mvua zaid kutoka nje kwa kutumia mabillion kwajili ya Dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
eti jamani mie nataka kuuliza wale ambao wameoa au kuolewa na mzungu alafu wakafanikiwa kupata watoto je watoto wakiuliza baba mbona wee mweupe na mama mweusi au vice versa huwa wanajibugi nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom