JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakubwa kabla ya yote naomba niwatakie members wote merry x mass &happy new year Ingawa sina muda mrefu sana tangu nijiunge na JF lakini kwa huu muda mfupi tu nimetokea kukoshwa mno na hawa...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE wengine siwafahamu.....
1 Reactions
150 Replies
22K Views
sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Wakuu,kuna rafik yangu hapa,kesho anaenda kutambulishwa kwa mama wa galfrd wake,sasa anaomba ushauri wa jinsi kubehave huko,jins ya kudress etc.over
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja. mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwangu ilinitokea, Nilifurahi kimoyomoyo... cijuw nae alikasirika au alifurahi! JE WEWE IMEWAHI KUKUTOKEA???
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki. Wale waafrika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ok people kazi kwako but i should warn you acha umbea and stop bieng insecure but anyway u can trace anyone apa: CELL PHONE GPS TRACKING by CELL PHONE GPS TRACKING COMPANY
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akasema " Wanaosema wanampenda Yesu wabaki humu, wasiompenda watoke nje" Waumini wote wakatoka nje ndani akabaki mchungaji na wazee wawili tu. Jambazi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu mtu yuko wapi?
1 Reactions
106 Replies
6K Views
jamaa wa kwanza alikula ugali mkubwa sana na gunia la chumvi, huyu akapata nafasi ya 3. Wapili alikula na kikombe cha maji, huyu nusura atangazwe mshindi akawa wa 2. Alieshinda alikula ugali na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/19779-matani-ya-wakenya.html
0 Reactions
0 Replies
770 Views
wapenzi wa chakula hiki msipate taabu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika Dunia ya warembo jina Mariam ni miongoni mwa majina yaliyobarikiwa sana kwa urembo,lakini kwa utafiti usio rasmi mariam(mary) hawajatulia kabisa wana mapepe(malaya). Vilvile happiness huwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ashakum si matusi Mods Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja. Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga. Wapo wanaotafuta...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Niki-log on mnajifanya hamnipendi na matusi tele mwanitolea lakini niki-log off hamchelewi kunitumia PM eti ooh sijui mnanipenda mara ooh eti sijui mnani-miss. Kuweni na msimamo nyie viumbe na...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Yeyote anayefahamu kwa undani GNLD Inahusika nanini??
0 Reactions
6 Replies
864 Views
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Back
Top Bottom