JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ubishi ni hulka ya mtu .hata hapa jf wapo watu wa aina hiyo.. wataje..
1 Reactions
282 Replies
17K Views
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao. akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje. Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi natafuta vibonzo vya CHAKUBANGA,CHUPAKI, NA CHUKULUBU
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku. Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja...
0 Reactions
104 Replies
36K Views
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa...
1 Reactions
77 Replies
9K Views
Swali la kwanza(marks 40) Jinsi ya kumwingiza simba ndani ya friji. Fungua friji halafu msukume ndani na ufunge mlango wa friji. Jinsi ya kumwingiza twiga ndani ya friji. Fungua friji na umtoe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tunajisifu kuwa lugha yetu inakua sana duniani. Na wakati mwingine tunajisifu zaidi tunapoona mataifa makubwa kama CHINA na USA yanapo jikita zaidi kukijua KISWAHILI. Lakini kwa mtazamo wangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja alikwenda ofisini J3 macho yake yakiwa mekunduuu! Bosi akamuuliza, "wewe kulikoni??" Jamaa kajibu.."Jpili nlipokuwa kanisani mbele yangu alikaa mmama mmoja mneneeee, sasa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Hongereni kuumaliza mwaka (bado wiki 2), ni jambo la kumshukuru Mungu na kusherekea kidogo. Mimi kwa upande wangu baada ya kufanya hivyo naanza kukuna kichwa kwasababu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There are basically 7 TYPES OF GIRLS 1. HARD DISK Girls:Remember everything forever. 2. RAM Girls:Forgets about you the moment you turn her off. 3. SCREENSAVER Girls:just for looking. 4...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi humu ndan kuna watu wenye vibur na hasira za karibu? Maana kwa wabish nimekwisha wajua!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
pamoja na kutapeliwa hela zangu humu, kuna mdada nimebahatika kuongea nae humu kanikubali na nitamuoa tu huu mwaka hauishi mtajiju wenye wivu jinyongeni mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
0 Reactions
33 Replies
3K Views
kwel mimi nakithamini sana kiswahili ila misemo yake inanchosha sana tena si kidogo! Utakuta msemo huu unasema ¤haraka haraka haina baraka, mwingine ¤polepole ndio mwendo, mwingine ¤ngojangoja...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wakuu tupo moshi na tumeingia kijijini kwetu juzi,kwangu mimi ni muda mrefu kidogo sjafika huku kwa sababu ya shughuli za kazi, nimeshangaa sana kuona jinsi wakenya walivyojaa huku kijijini kwetu...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Hope to hear from you soon thanks merry xmass and happy new year rgds pdidy inv centre
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, wale viumbe wanaojiuza sasa hivi wanafanya kazi usiku na mchana. wenyewe wamepanga vyumba kabisa. na wamejiwekea sheria ya kutokugombania wateja, wewe ukifika pale unakuta wamekaa mlangoni...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ng'ombe aliyeko mbele ndiye anaechelewesha safari kwa kutembea polepole lakini fimbo anachapwa wa nyuma. Nashut down
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za weekend wanajamii. Naombeni msaada wenu katika hili; Natafuta hotel ya kupumzika na mpenzi wangu weekend. Napendelea maeneo ya Beach especially in DSM. Our budget is 150$ per night...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni vigezo gani wanatumia. Ktk peruz peruz yangu kuna wale nawaona mara kwa mara ila bado sijaona michango yao ya maana. Kuna membaz wana michango ya msingi sana sioni hata mmoja kutajwa. Wale...
0 Reactions
152 Replies
10K Views
Back
Top Bottom