Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"
"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao...
UTANI WA WATANI [emoji16][emoji23][emoji23]
Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:
Foton Kyando
Garage Tweve
Heaven Msigwa
Japanese Chando
Bed-ford...
Heshima kwenu wakuu.
Natumai ndani ya JF tuna watu smart & peace kabisa, sasa ningependa tutambuane please.
Kama wewe ni muhuni mwenzetu hebu dondosha signature hapa chini mkuu.
Nawasilisha.
Habari wadau.
Jana nilivuka Salama mlima wami. Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.
Nikajipongeza mpaka...
Habari wazee wa Jf.
Ndio mara yangu ya kwanza kupeleka mzigo Dar. Nipo karibu na mteremko wa daraja wami natetemeka wazee nikifikiria kupanda ule mlima dua zenu jamani.
Wakuu nipo kwenye bus naelekea Morogoro na nimefika maili moja kwasasa, bus nililopanda ni 2 by 2 na pembeni yangu kuna msichana ananitia mashaka mno namuhisia ni mtu wa tofauti nikimaanisha sio...
Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe
1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia
2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi
3.Akizini kwa lengo la kuokoa...
Habari za asubuhi.
Tangu uanze ujana umekula au umekulwa na wangapi?
Naanza mwenyewe nimekula wasiozidi 6 mpaka sasa wewe je? Kuwa mkweli hakuna anaekujua.
Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari...
Habari wana JF kuna simulizi nyingi za maisha ya kweli ya wana JF humu ni ipi bora kwako? Yangu ni ya khumbu wa South Afrika, mke wangu Hamida, yule jamaa wa sitatosahu ya RFA Shaka Zullu aisee...
Jumapili iliyopita nilihudhuria kwenye msiba wa ndugu wa rafiki yangu, Miongoni mwa waombolezaji alikua dada mmoja mwenye miaka kama 26-30, alikuwa na mwanae wa kama miaka minne hivi
Sijui...
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location
Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana...