Wana jf,supose ww ungekuwa ndo mbunge wa cdm umetendw haya ungfnyj?
0.kura zenu za uraisi zmchakachuliwa
1.umenyimwa haki ya kushiriki kumchagua meya arusha
2.umekamatwa ukitetea haki na...
Binafsi najishangaa sana mzunguko wa maisha yangu:
Nikiwa sekondari serikali ikafuta masomo yabiashara(BK&COM) sisi ndo 2kawa wa mwisho.
Nakwenda advance serikali ikarudisha miezi ya...
Nauuliza Swali langu Kitendawili? Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........
Natangaza kupotelewa na memba mmoja mwenye ID aina ya The Boss. Mara ya mwisho alionekana maeneo ya Siasa, Chit Chat na MMU na walikuwa karibu na kijana mwingine wa mtaani jina bado linahifadhiwa...
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.
hii inasumbua sana,msichana anatumwa sokoni na wazazi wake,akifika huko wauzaji,wengine wa2 wazima wanaanza kuwashika maungoni makilio wateja wao hao hata kama hawataki,tabia hi imefika mahali...
Kwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa...
Habari zinazosemekana ni kwamba X Presida wa Marekani bwana GW amewasili Dar es Salaam Inernational Airport leo Alhasiri. Kesho Hasubui na mapema atakaa na kamati yake kudiscuss kuhusu mradi wake...
Mambo mengi hutokea mwezi huu, kwa hapa bongo pia
9 Dec Uhuru day
Muungano day
Bday kwa some JF members
X-Mass Day
Boxing day
New Year
Na mengine meeengi tu!! I wish ya all the best...
habari!hivi hizi j'tatu-j'pili zilitungwa na nani na zina maana gani?mana naona kama kuna majina ya watu kwenye hizo siku mfano juma,tatu,pili,ali,hamisi n.k.vile vile kwa kiingereza...
MPEMBA ANATONGOZA DEM:-ntoto weyee wallahi wanimaliza unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo(.....)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.