Eti wanawake sio binadamu kwa kusoma vitabu vitakatifu.......Ukisoma kwa uangalifu utakuja kugundua kuwa wanawake sio binadamu ni ubavu mmoja wa mwanaume....Adamu......
Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!
Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo...
Usiku huu nimechukua Pc ya mke wangu ila walau ni log in Jf. Kumbe na yeye ni member ya jf, alisahau kulog off.
Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu...
Dingi yetu uliye majuu jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu ufalme wako utuibukie kiaina unachotaka ​kifanyike duniani kama maskani kwako utulete leo mapiza mbaga na mazaga zaga tuchuku...
Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza...
Kuna mtoto alizaliwa akawa haongei mpka alivyotimiza umri wa miaka 8,neno lake la kwanza kuongea likawa ni bibi,mara bibi yake akafa ghafla,akaja tena akatamka babu,naye babu akafa ghafla,kwa hiyo...
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo...
Ningeomba wana MMU wooote tukutane xmass hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo live na kuifurahia siku kuu hii kwa pamoja tukila na kunywa. Nitajitolea round moja kwa kila mtu. Nimeona nifanye...
Great Thinkes..
Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
Source; Clouds fm
Darasa linaendelea na kipindi, na mara ukafika muda wa maswali, mwalimu wa kiswahili, akitanguliza maelezo akisema "wanafunzi na sasa atasimama kila mmojawenu atakua anataja neno au jina la kitu...
Hivi ipi adhabu rahisi kati ya hizi zifuatazo ikiwa umekamatwa na mume au mke wa mtu?? 1)Kunywa glass moja ya makohoo ya mgonjwa wa TB. 2) Kukamua kwa kimywa jipu bivu la mgonjwa wa ukoma. 3)...
Harusi ya patashika imefanyika, walikuka wakanywa wakaserebuka, sasa shughuli imekwisha bwn harusi keshalala na mkewe yapata cku ya 7. Cku ya 8 bw harusi amefunga safari kurudi ukweni shabaha...
nilikuwa young boy in the hood,siku moja nika kazwa sana usiku,nika-amsha big bro anipeleke choo lakini akasema zii....sasa nikajifanya okwonko nikafungua mlango usiku kitu saa saba hivi...lakini...
kuna dogo alienda xul na paka wake, akiwa darasani mara mwalimu akaingia kisha akamuuliza yule dogo
Teacher: "Why is your cat at school?" Crying kid: "Because I heard
daddy say to mommy, "I'm...
Wana JF, kila nafsi imeumbwa na kufurahi ndani yake.
Uzi huu unatuwezesha kuorodhesha top ten thread zilizo kufurahisha kwa mwaka 2011. Sio lazima thread ziwe kumi, can be less than ten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.