Wadau nimekua najiuliza sana hili swali kila siku..mana humu ndani tunajuana kwa ID tu na wengi hatujuani majina halisi..hivi mfano member mmoja wetu akatutoka kuna any means ya kujua na kutoa...
(JAMAA#1):Rafiki yangu,hivi kwanini unapenda kutembea na wanawake ambao sio wa hadhi yako?huoni kama unajidhalilisha? (JAMAA#2):Ina maana hata mkeo sio wa hadhi yangu?
Ticha wa std 1 ka..amba class wanafunzi wakaanza kucheka ticha kuua soo kaua kipindi sasa next periodi
ticha:tuliishia wapi kipindi kilichopita?
Wanafunzi:pale ulipojamba mwalimu!
jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh
nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
Jambazi mmoja aliingia kanisani akiwa na bunduki mkonon,akasema,''haya wanaosema wanampenda yesu wabaki humu wasiompenda watoke nje,ndani akabaki mchungaji na wazee.''jambazi akamgeukia mchungaji...
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!
Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao
Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!
Endeleza na wewe.....
Madadiito na mamamiito,
Kikao cha weekend hii wapi?
upande wangu mfuko hauko sawa.
Nataka ningalie wenye kikao karibu na Home niwapige mzinga.
Bebii, wherever you are. Please nipe Mchongo-...
Nimegundua ni bora watu wawepo hata kama mnagombana na kutofautiana.
Tulikuwa hapa wote tunabishana bishana jioni hii, ghafla siwaoni
Imekuwa kama vile watu wanaoishi nyumba moja halafu wanaamua...
Kulikua na jamaa 1 mwizi wa misalaba makaburini .siku 1 wakati akiwa katika kazi yake alipofika kwenye kaburi akaanza kuung'oa msalaba uliokua juu ya kaburi . Hafla wakasikia mtu akisema: oeeh...
Kuna jamaa mmoja kutoka kilimanjaro, alitembelea zenji. Katika pilikapilika zake za siku nzima, njaa ilimshika na akaamua kwendi hotelini kupata menyu.
Kwa bahati mbaya alikuwa vyakula vimeisha...
Kuna sekondar moja iko mjini kahama shinyanga,jna limehfadhiwa.Yaani ile sekondary ni ya mataira director wa shule elimu yke darara la pili,mkurungenz wke hakusoma,mkuu wa shule ana digrii lakin...
The festive season is upon us, accidents take seconds
2 happen but suffering lasts a life time;therefore: HELMETS & CONDOMS shld be worn on appropriate
HEADS during respective RIDES, esp on...
Chapombe alikua anasafiri kwenye treni siku ya tatu bila ya kuonja akamuona mtu mbele yupo na chupa ya biere akakiepeleka mdomoni na kui2a chini kwa kua jamaa alikua na usongo na bia akamlia...
Kwa sasa Facebook imejaa mashoga wa kiume hali inayotia kichefuchefu kabisa .. utakuta wanawasiliana na wewe kama rafiki wa kawaida baada ya siku mbili utasikia nina hamu kweli ... ukiuliza hamu...
Mi nimebanwa sana kikazi wikiendi hii huku Mombasa. Sijui kama nitapata muda wa kuingia jamvini na wakati huo huo kupiga mambo yetu. Lakini naomba niwatakie wikiendi njema wanajamvi wote na Mungu...
Aagh jamani uchawi upo!! Hapa Mtwara sasa hivi kuna jamaa wapo baadhi wanatokea msumbiji huko, wanatoa uchawi. Wameanza Mikindani huko, wazee wameumbuka sana, kuna nyumba wametoa misukule zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.