JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
.........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
based ona imagination. Siku PM za watu wote zikiwekwa wazi itakuwaje? Ni pm za akina nani utataka kuzipitia kwaza, top 3 na unadhani nani hatapenda kabisa hiyo idea? Mie ntapenda kuona za...
3 Reactions
104 Replies
6K Views
Wanajf za jumapili?aisee ninaumwa na fizi sana kumbe jino linaota, sasa nashangaa kwani mwisho wa kuota meno ni miaka mingapi?mbona nina umri mkubwa tu?
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Hope your birthday's happy and your wishes all come true and that everyday that follows brings happiness to you, on this special day as you celebrate your birthday wishing you a lot of surprises...
18 Reactions
108 Replies
13K Views
Sikuwa kifungoni la...nilikua tite tu bt nw nimerejea....niliwamic wanajf
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Great Thinkers. Naomba kuuliza ni kwa nini hizi pombe kama Konyagi, Bia, Wine, Wisky, zinaitwa pombe halali? Halafu pombe kama Gongo inatwa pombe haramu?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Mwalimu wangu wa somo la jiografia alinifundisha ya kuwa dunia inalizunguka jua katika mhimili wake kwa muda wa mwaka mmoja. Pia alisema mwaka mmoja huo waweza kuwa ni siku 365 na 1/4 au siku 366...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu hii nimeileta huku ili nisipigwe mawe! Kuna vitu baada ya uchunguzi wa kutosha penda tusipende Lowasa atakuwa rais wa Tanzania! Inauma na nilikuwa siamini lakini sasa anashinda! Hutushomoki...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi hawa Airtel mbona wezi sana? Leo nimeweka vocha ya Tsh 2000 nikajua nitaongea dk 5 au zaidi na m2 ambaye yupo Marikani coz kiwango ni tshs 5.16 per Sec,lakin nilipopiga 2 ilikatika yote baada...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale waliofanikiwa kuiona na mungu awajalie na kuwazaidishia na hii ndio raha ya jf baraka unazipata hapa hapa duniani kila la kheri soma mwanzo 1:23....27
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dreva Mwakitosi ambae anaendesha Fuso kampuni moja ya kuuza maji ya kunywa, hii cku anatokea Dar kwenda Mwz, kufuatia hali ya joto njiani akawa amevua shati anaendesha kifua wazi, mara ghfl...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku mbili zilizo pita yule...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A boy caught his daddy red-handed with their house-girl making love and his daddy gave him 500/= Tshs. not to tell his mummy. Almost refusing the money, the boy said: ''daddy, that's not fair...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu. hebu tuangalie...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Ndugu, Mwezi huu nawa kumi sijawai hona au kusikia kila mtu akisema hali mbaya sana. UKATA, huu nimeufanananisha na Mamba kutoka majini na kwenda nchi kavu kula majani. Jpili moja nimetoka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi habari zenyu niombeeni dua naelekea kijijini kwetu kwenye misa ya mzee wetu jj msofe ali r.i.p 23 yrs ago,nipo kwenye bus la happy nation,na hizi ajali oooops! Hapa namsaidia driver...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Za wikiendi Wana JF! Tumekuwa tukisikia wakaka wakilaumiwa na wakaka wenzao kuwa wana tabia za kike. Mara nyengine hata wadada huwalaumu wakaka hao kwa tabia za kike, na hufika mbali hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuboreshwe japo hata picha za kila user zweznawekwa.Ni mtamzamo tu
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom