JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna watoto walikuwa wanacheza,mwenzao mmoja akaanza kulia,wakati analia mtumishi wa Mungu akawa anapita,mtumishi akamuuliza "mtoto mbona unalia?" Mtoto akamjibu,"natafuta yeboyebo zangu sizioni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa, Ni wapi (kiwanja) naweza pata nyama choma nzuri kwa dar. Domo Zege
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Due to increasing products liability litigation, liquour manufacturers have accepted the FDA's suggestion that the following warning labels be placed immediately on all containers...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Gani wewe kama and why? bangi for me! :poa
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ukitaka kuhama dunia kwa muda, we usipate shida. Ingia Facebook. Au ukitaka kurudi utotoni pia, hakuna gharama we nenda tu. Ukitaka sifa pia, wala usipate shida. We nenda huko. Ukitaka kuwajua...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina matatizo makubwa sana ambayo nisingependa kuyaanika hapa upenuni. Naomba ridhaa ya mwanajf yoyote yule wakike anipm ili aweze kunisaidia tafadhali. angalizo: huu si utani, nipo siriaz nina...
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Toto lisilo lako utalijua tu.Linacheza mpira wa chandimu na wenzie,bahati mbaya wanakupiga na ule mpira,unauchukua na kuuficha,watoto wengine watakimbia,lenyewe litakuja kifua mbele kwa hasira...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila baba mwenye mtoto umwambia mtoto wao eti soma kwa nguvu zote achana na michezo ya ajabu tena kwa ukali.kwani mimi enzi zangu nilikuwa nashika namba moja.je baba yake nani alikuwa anakuwa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa hakuna cha Baamedi wala kuchunwa wala mchunaji, watu wanaburudika kwa raha zao tu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna swali linalonisumbua sana kama kuna mtu anayejua anisaidie. Ni kwa nini wakati wa kushiriki tendo takatifu la ndoa, sehemu iliyo safi hulazimika kutumia kinga wakati sehemu chafu(mdomoni)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2005, nilikuwa naelekea Mbagala kwenye kiwanda cha kutengeneza kanga na vitenge cha KTM. Nilikuwa ndio kwanza nimefungua biashara ya kuuza kanga na vitenge na nilikuwa...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimetembelea ukurasa wao wa facebook leo, nikakutana na fomu ya kujaza malalamiko... Nimejaza kilichokuwa kikinisibu, ndo nangoja muujiza wao! Bofya hapa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuwa watanzania ni wanafiki na wabinafsi?
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja mkazi huko moshi ambae alisadikika kumuua mumewe mwenye kipato (kama kawaida yao) basi baada ya mumewe kufariki ndugu na jamaa na marafiki walikusanyika kwa ajili ya kumuaga mpendwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Shemeji anapendeza nawe pia wang'aa, walisema hawezi hawezi haya sasa kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko? PICHA KWA HISANI YA WAVUTI
0 Reactions
39 Replies
8K Views
A junior in an office dialed his boss's number by mistake & said : Hey, send a coffee in my cabin in two minutes !...........boss shouted : do you know whom you're talking to ?!!!!!! Junior ...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Aisee we acha tu ilikua ni balaaa… yeye alikua mtoto wa dar mimi wa Moshi. Nilianza nae form I (one) mzigo kaja nipa form two tena wakati tunafunga mid-term. Ilikua madikodiko yangu yote nampa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This is what a guy wrote to our systems analyst: Dear Systems Analyst, I am desperate for some help! I recently upgraded my program from Girlfriend to Wife and found that the new program began...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
leo nimekutana kwa mara ya kwa na konda wa daladala mkweli alikuwa anapiga debe hivi konda; twende kariakoo ya kuna nafasi za kusimama ....haya wale wakuchelea kariakoo ya kuchelewa hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom