Kwema wapendwa? Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members kuhusu avatar yangu, nimeamua kuchukua maamuzi ambayo ninadhani ni sahihi kwa mustakabali wangu na mustakabali wa JF kwa ujumla. Baadhi...
Kula gizani ni kula na shetani.
To eat in the dark is to eat with the devil.
This belief discourages eating In the dark, for
obvious reasons.
Kushona nguo mwilini kunaleta ufukara; tabia
hii...
jamani nawaombeni sana watu ambao mnapenda kufanya sherehe bila ya kuwa na fedha muache tabia hiyo.
unakuta mtu hana hela ila anapenda tu kuwakusanya watu na kuwapotezea muda kwa mambo yasiyo na...
Habari ya siku wapendwam
Nimewamiss sana maana sikuwa kwa jukwaa kwa muda kidogo but now nimerudi. Leo natangaza rasmi kwamba nataka kuwa JF Premium Member kwasababu nimekuwa naanzisha threads na...
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa...
Habari za mchana wanajamvi? Nina swali kidogo la uzushi.
Ni hivi umemtia mimba mwanafunzi na kosa la kumtia mimba mwanafunzi nchini Tanzania ni kwenda jela miaka 30,baba wa mwanafunzi ameshashtaki...
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao...
(MGAMBO)>:Aroo,kwanini unakunywa gongo mchana mchana tena hadharani?,hii nchi ya babako? (MLEVI)>:Na wewe kwa nini unanifokea mchana mchana tena hadharani,hii nchi ya...
Mateja wawili wako juu gorofani wakiendeleza sniff, cocktail na kujidunga huku wakiwa wanaingalia man'dhari (city view) ya jiji la Mwanza kw chini wao wakiwa juu issue ikawa :-
Teja 1 :- Nambie...
Ni wazi hakuna anebisha ushupavu wa dada (mh Halima mdee) njee na ndani ya Bunge.
ni mmoa wa wabunge wa kwanza kuchukua jimbo la Dar Es kama mgombea mwanamke kutoka kambi ya upinzani.
ni mmoja ya...
Msichana mzuri aliweka tangazo kwenye gazeti akisema anatafuta mwanaume atakayemwoa,ambaye hata mwacha na atamridhisha kitandani.
kesho yake akashangaa jamaa anagonga mlango hana miguu wala...
Kihoja hiki kimejiri muda wa saa 7 mchana pale bibi akiwa angania alipodondoka chini maeneo ya mfumoni(wenyeji mnapajua).
Bibi huyo aliambatana na mtoto mmoja wa kike kwa wenyeji wanasema...
I was following news the other evening, suddenly I saw news piece with Mr. President as the focal of attention. The news flash made me think of our top CEO, I realized Im short of expression...
Wadau,
Kunakipimo cha uwezo wa mtu kufikiria, ubunifu, au kuelewa mambo haraka(IQ), na kipimo cha chini ni IQ 70 na cha juu zaidi ni IQ 180
Kikwete (IQ) --------Nyerere (IQ)
kufikiri 40...
Katika hali isiyo ya kawaida leo asubuhi nimefika Ofisini kwangu. Si unajua tena mambo ya kujiajiri. Nina ka salon kangu na mtaani kuna salon mbili nyingine. Lakini kufika mlangoni nikakuta kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.