Katika jaduweli ifuatayo, yenye nambari 1-16, ukijumlisha nambari za mstari wowote, iwe chini kwende juu, kulia kushoto, pembe hadi pembe, upande wowote, unapata jawabu ya 34. Hata ukijumlisha...
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na...
Tangazo hili liko maeneo ya sinza kama unakwenda mwenge karibu na chuo cha ustawi.
Eti dada anamwambia mbaba ambae ni kijana kuwa mimi ni sawa na mwanao wakati dada huyo amemuonesha jamaa natiti...
Natamani kusikia majibu ya maswali haya:
1 what is satan's last name?
2 can animal commit suicide?
3 why do we press the "start" to turn off the computer?
4 if there is exception to every...
Sharobaro amepata mchuchu mpya. Siku hiyo usiku akampigia simu:
sharobaro: hellow.
Demu:hellow darling
sharobaro: are you eyes?
Demu: what?
Sharobaro: are you eyes this time?
Demu: whaaat...
wakuu!!
leo naweka hadharani
Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)
Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa...
Je, ni wangapi kati yetu tupo kwenye ajira tunazozipenda kwa dhati? Au ndio hivyo inabidi tu kwenda kazini, kufanya kazi ambazo pengine hauzipendi sana (unakuta unalalamika kila siku lakini bado...
Habari wana JF???
Sisi waafrika ni kweli tuna extended families lakini wakati mwingine jamani ni kutiana umasikini!!!
Mtu ana watoto wake nane, anaishi nao Dar, watoto watatu anawatafutia shule...
Wandugu za jioni, tafadhalini naomba msaada mnijuze zile number za msaada kwa anayekumbuka kuna ndugu alitujuza juzi ila kwa bahati mbaya mimi sikuzichukua
* Your last name stays put.
* The garage is all yours.
* Wedding plans take care of themselves.
* Chocolate is just another snack.
* You can be president.
* You can wear a white T-shirt to a water...
Chinese couple in Dar es salaam gave birth to a black baby n the
Husband asked the wife....''chu why baby black''?
She replied, ''we live in Tanzania, no electricity, me hot, u hot, sexy...
A new pastor was visiting the
homes of his congregation.At
one house it seemed obvious
that someone was at home, but
no answer came to his repeated
knocks at the door.Therefore, he
took out...
Mimi ni mmojawapo kati ya mashabiki wengi wa ms humu jamvini! Jamaa anapokosekana humu ndani jamvi huwa linapooza sana! Naamini kuna watu wengi huwa wanamtusi sana humu ndani lakini mioyoni mwao...
Jamani bumu, jamani bumu hvi kwanini nilikujua?cheki sasa umenikimbia nimebaki mpweke.tangu tuachane kitu pesa imekua msamiati kwangu.nimekuwa mwenye huzuni siku zote na wala nyumbani...
1) Jana asubuhi nilipata taarifa ya msiba wa mmoja wa madereva wetu hapa ofisini, ndo tunajianadaa kumpeleka kwao miono leo kwenda kuzika saa 10 jioni
2) Jana kwenye majira ya saa 5:30 ucku...
Leo nimepata huu ujumbe(plz nisaidie kama unaweza, then issue ikitiki. mi ntakutoa ) kama private message
heading na body viko sawa
Nahisi hili ni bomu.
Leo nilikuwa ninaandika sms kwenda kwa shemeji yangu!
Niliandika neno chumvi simu ikarekebisha ikapendekeza chumvini
Nikaamua kumtext rafiki yangu MTM kumpa pole ya kichapo cha Totenham
Dear...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.