Mtalii alimwuliza kijana mwenye boti,Do u know Biology, Psychology, Geography,
Geology and Criminology?Kijana mwenye boti akajibu NO.Mtalii akamwambia kijana,''What the hell u know on the face of...
Jamaa kakosea,baada ya msg kutuma kwa hawara katuma kwa mama mkwe! ilikuwa inasema,''Mi nakupenda nimevumilia nimeshindwa nimeona nikwambie ya moyoni,naomba tuwe wapenzi mke wangu hawezi...
Giving up is not always shows that you weak.
Somtimez giving up it shows how strong you are that your able to give up,for thngs tht your sure it will hurt you a lot.
Habari wana JF .
Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na
kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi
ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??
Mtaani...
habari zenu wana jamvi, hivi ni kweli JF kunapatikana wachumba wa kutosha? maana kila mara tunaona matangazo ya kutafuta wapenzi! japo wanapigwa majungu ya kutosha lakini nashangaa hawaachi!
Naomba msaada, nina shida sana ya kusoma ile post ya kwenye jokes/utani inayohusu majina ya watu na sifa za wenye majina hayo ila sikumbuki title yake. msaada tafadhali.
Little Johnny was playing in his room when his dad walked in and explained that he and his mom were getting a divorce.
"Why Daddy?" asked a confused Little Johnny.
"Well, son" he...
Ni sehem gani LAINI katika mwili wa BINADAM ambayo imezungukwa na NYWELE na ina UNYEVUNYEVU na ikikerwa sana hutoa MAJI. Acheni kufikiria ujinga nyinyi.....
JIBU NI ------------->>
Kwa wale wenzetu wa ukanda wa pwani;eti ni kweli kwamba popobawa huwa hataki watu wanaolala uchi wa mnyama na badala yake anapenda wale wanaolala wakiwa wamejijaladia kwa mavazi mengi kama vipande...
Kuna baadhi ya topics hapa kwa jokes zimewahi kukupa raha.naonelea badala ya kuzi repost nianzishe hii thread ili kujikumbusha na kuwapongeza waliochangia.mimi binafsi huwa kila nikisoma hii...
Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss tulikuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na tulikuwa tunasema AMECHOMA. Nikiwa kidato cha tatu mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na...
...she took a ruler to bed to see how long she slept.
...she sent me a fax with a stamp on it.
...she thought General Motors was in the army.
...she spent 20 minutes looking at the orange juice...
Jamaa mmoja baada ya kuhangaika sana na kabinti fulani hatimaye akakapata na kukachapa nao. Alifurahi sana baada ya kumkuta binti yule bado alikuwa bikila. Akakaa kando ya kitanda na kumsifia kwa...
KIMSINGI, huu si utani na imetokea bahati mbaya tu kwamba nilipotea njia nikajikuta humu! Nimetafuta japo upenyo wa kutokea, nimeshindwa kuuona na hivyo nimeonelea niyaeleze humu humu! POINT OF...
SIDO Makao Makuu imeondokewa na Mhasibu wake Bw. Peter Mkilania, aliyefariki dunia ghafla jana usiku. Peter alikuwa mzima, na alifanya kazi zake kama kawaida, ila ghafla alifikwa na mauti akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.