Wakuuu poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale humu JF sio pazuri kuna member mmoja humu ana mambo ya kishirikina sana tuweni kujibu jibu watu yamenikuta
Mbeya ni Mkoa wenye Historia tata sana Tanzania, ni Mkoa wenye Makanisa Mengi sana lakini ni Mkoa ambao watu wake wanawindana kama Chui anapowindwa kwa maana Ngozi yake ni dili, lakini vile vile...
Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa.
Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda...
Hahahahaaa
Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha...
Usiku ndio muda mzuri wa kuchat na marafiki kutoka mataifa mbali mbali.
Sasa wewe umelala, unasubiri pakuche uanze kuchat na Mwajuma ndala ndefu.
Huo ni umasikini, changamka kijana
Labda Huenda wewe umebobea katika kitu Fulani, labda ndio career yako ni vema ujifunze mambo mengine madogo madogo!
Mfano mimi Nasoma Civil, ila ninajifunza Programming....najifunza namna ya ku...
habari watu wanguvu ...naimani kila mtu yu mzima na yu afya njems ningependa tujumuikebsote kwa pamoja kwa dhumuni la kuweza kujuana na kupiga story tofauti tofauti ikiwemo kupeana ushauri na...
Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti...
Hello JF members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa Jamii Forums
Sijui nimtaje? [emoji3][emoji3]
Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,
"Mungu...
Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe.
Pengine ni kwasababu ya kile tulicho...
Mtu anawekewa limbwata na mwanamke mpaka anasahau familia yake.
Anashindwa kufanya kazi.
Anawaza kuhusu mwanamke na wivu usiofaa.
Anahonga mwanamke mpaka anaharibu maisha yake.
Wengine...
Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC...