Jamaa mmoja ambaye yeye ana tabia ya kuonekana anafahamu kitu katika ulimwengu huu wa sayansi na technologia. Siku moja aliadhirika baada kuwatambia watu kwamba yeye ni miongoni mwa watu wachache...
Source: Kibonzo gazetini leo (modified)
Mwalimu: Wanafunzi, rangi za BENDERA ya Taifa la Tanzania ziko ngapi?
Mwanafunzi: Nne!
Mwalimu: Zitaje.
Mwanafunzi: Kijani, Bluu, Njano na Nyeusi...
Huyu jamaa yetu ni top class!
Ameweza kumrushu msanii wetu kwenye GulfStream bila ya matatizo yoyote kuanzia Africa,Ulaya,America,Asia ,kasoro Antarctica na South Pole tu hawajafika.
CV yake ni...
Inasemakana kuwa katika africa mashariki watu ambao wana matumbo makubwa na havi weight katika vikosi vya police na jeshi la wananchi basi tanzania na zanzibar ni ya wa kwanza,hii ni kweli...
Naomba mnisaidie katika hili, Hivi hawa wabunge wa ccm inakuwaje wana lalamikia hotuba za bajeti sana na mwisho wanaunga mkono hoja nimekuwa nikitafakari jambo hili na sijapata jibu kama ndio...
London Mayor Boris Johnson is raising a stink over minor congestion charges he says President Obama's motorcade incurred while visiting his city, the London Evening Standard reports.
Johnson has...
Haya ndio matatizo makubwa sasa Tanzania
Incompetence
Tatizo la umeme
Rushwa na mafisadi wao
Miaka 50 ya UHURU,bado budget yetu inategemea Wazungu
Miaka 50 ya UHURU,bado wagonjwa wanalala...
Vikao vya bajeti vinavyoendelea bungeni jioni hii kwenye kuchangia bajeti ya afya bungeni karibu asilimia 65 ya wabunge wote wameingia mitini nikiangalia luningani pale bungeni wabunge ni wachache...
"During this Sunday Service in church, a priest gave the followingsermon:** Dear Brothers and Sisters !!!!!** Today I want to talk about a Piece of MEAT.** YES.....THAT Piece of MEAT ...
Habari wapendwa.
Miaka 12 iliyopita nilikua A'level shule moja DSM.
Kuna binti nilikaa nae hostel. Hatukua tunapatana kabisa na kiukweli nilimpa wakati mgumu sana siku zile kwa sababu nilikua na...
Baada chereko nyingi ulifika muda wa maakuli, mara wakaingia warembo wa2 na kuanza kunawisha waalikwa' mafuta ya kula! Huwezi amini baadhi ya waalikwa walianza kutokwa na mate ya hamu wakitamani...
Katika kiunga fulani cha jiji la Dar Es Salaam, mtoto mmoja alitumwa akanunue maziwa ya unga kilo mbili, lakini alivyoenda dukani akaambiwa maziwa ya kilo mbili hayapo ila yapo ya kilo moja moja...
A guy is standing in a bar drinking when a stranger walks in. After a while they get to talking and at 10:30 the second guy says, "Oh well, I better get home. My wife doesn't like me to stay out...
A husband and his hot wife were playing golf when the ball suddenly goes inside a house.
They enter the house and see a broken bottle and a man.
Man: I want to thank you. I am genie who was...
Hii kali RUGAIMUKAMU: Hivi Rweyongeza kale katoto kako Gozbert kako wapi siku hizi? Maana nakumbuka kalikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari bingwa sasa!
MUCHUNGUZI: Ee Albert...
NDUGU ZANGU WATANZANIA,NASIKITIKA
KUWATANGAZIA KUA,MAJI YALIYOBAKI MTERA
NI YA KUCHAMBIA TUU.........
SASA CHAGUENI MOJA.....MPATE
UMEME MBAKI NA MAVI YENU MATAKONI...
AU MCHAMBE MKOSE...
Prof.wa computer alisikika akitongoza demu!Penzi langu lina GB kubwa sana kwako mpenzi.Nataka ni INSTALL moyo wangu kwenye CPU ya nafsi yako.Naomba uni DOUBLE CLICK kwenye maisha yako niwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.