JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani nataka kununua Xtrail, lakini watu wananiambia eti ni mabovu, nimemuuliza aliye niambia kuwa mabovu kuwa yana ubovu gani anasema hajui ubovu wake, ila ameambiwa kuwa sio imara. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watoto wapo hospitali,mtoto wa kwanza kamwona mwenzie analia ikawa kama hivi:- MTOTO WA KWANZA:Unalia nini? MTOTO WAPILI:Nimekuja kupima damu MTOTO WA KWANZA:Ndio sababu unalia? MTOTO WA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kila siku najiuliza kuhusu adam na hawa , katika vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa sisi sote ni wana wa adam lakini inakuaje sisi waafrika tu weusi,au baba yetu adam au mama yetu hawa mmoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Msomaji wetu mmoja ametuandikia na kutuuliza swali ambalo limetuwia gumu kidogo kulijibu.Anasema, hivi karibuni alipokuwa nchini Tanzania(anaishi ughaibuni) alikuwa akisikia sana msemo wa mitaani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Vichaa kutoka asylum moja wanapelekwa nchi jirani kwa ndege kucheza mechi ya kirafiki na vichaa wenzao huko. Kwenye ndege hakukaliki,mara huyu kamrushia mwenzie mpira,mara huyu ka inflate life...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukijumlisha miaka yako, mfano 19 na digit mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa 1992 jibu litakuwa 111, basi hivi ndivyo ilivyo kwa watu wote mwaka huu, jibu lazima liwe 111, au 11 au 1. Hii ina...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Acheni ungana nami new member
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kimsingi nimependezwa sana na kila mmoja wenu waliochangia mada yangu,nimefurahi sana kwa asilimia kubwa kuniponda na kutoa maneno yaliojaa kejeli matusi na dharau tele,nchi hii ni ya demokrasia...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Just click the link. There will appear a curious clock which doesn't loose a second! http://www.asriran.com/files/fa/news/1389/8/16/155486_922.swf
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Doctor; u look soo weak & exhausted! Are taking ur meals 3times a day as I advised? Lady; I thought 3 males a day.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Crappy Story There once was a nonconformist bird that decided not to fly south for the winter. He said "I've had enough of this flying south every winter, I'll just stay right here on this farm...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Kwako Mhe. Rais Salamu nyingi sana zikufikie popote pale ulipo. Nasema popote pale ulipo kwani sijui nifikishe salamu hizi hapo magogoni au tayari umeshaelekea safarini. Tuyaache hayo nakuombea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zingatia Haya! Kumpata mwenza au mke au mume ambaye utaishi naye maisha yako yaliyobaki hapa duniani ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Na kwa kupenda wenyewe hupelekana hadi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
once upon a time a guy asked a gal "will you marry me?" and the gal said no then the gal was free to go partei with her friends,had clean house,rarely cried or yelled,did not get fat, never...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Ku-act ni kuigiza. Leo hii tuna waigizaji wengi sana nchini, na mabo machache yanafanyika kiukweli. Tuanze na Mkuu wetu wa Nchi-Presidaa Acting Presidaa daima yuko safarini, ana act kuwa presidaa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mume anamwambia mkewe "Niambie kitu kitakachonifurahisha na kuniudhi, alafu na mimi nitakwambia" Mke akasema "una muhogo mtamu kuliko kaka zako wote" jamaa akamwambia "yaani sina wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Enzi za ukoloni mzungu mmoja alikuwa anapita chini ya mwembe, alipoangalia juu ya mwembe akakaona katoto kametanua miguu juu kwenye matawi mawili na jicho likatua kwenye kitengo. Kwakuwa kale...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimeipata hii leo nikiwa barabarani.. nimecheka , kama hujawahi kuisikia utaipenda.. ukiona vinaelea... viache viongelee, sio ridhiki yako..
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom