Kuna vituko vingi sana tulifanya tukiwa wadogo rika lile la shule ya msingi.
Visa tulifanya kanisani, shuleni, nyumbani na mitaani kwa ujumla.
Je wewe unakumbuka kituko gani?
Mwanamke mmoja alikuwa wa ki-leo sana kiasi kwamba sehemu kubwa ya pato lake na mume wake liliishia katika kubadilisha samani na vyombo vya matumizi ya nyumbani na kuweka vya umeme: jiko, sufuria...
Kwa maombi ya wengi nimeamua kuludisha. Na pia kero za Lizzy zmenifanya nirudishe!! Kwa nini nisifanye kitu moyo unapenda? Hilo ni moja.
La pili.......Sifurahishwi na hali ya pale ninapofanya...
Nimejichokea zangu narudi kutoka kazini, niko kwenye usafiri wetu wa jumuia. Foleni ilipoanza kunoga basi kamjadala kakaanza mara baada ya kupita kibasi kikiwa na abiria wenye nguo za njano na...
Dogo mmoja katoka saloon katengeneza nywele kwa mtindo wa fidodido(dread style).Alipokutana na baba yake ambaye ana uwalaza(upara) wa kati alifokewa sana na kuambiwa akanyoe nywele vizuri kwani...
Dogo akamuuliza mama yake mjamzito, 'eti mama mbona tumbo lako kubwa sana'? Mama akajibu 'nina mtoto tumboni'. Dogo hakuelewa, siku moja mama anasonga ugali akawa amekaa vibaya. Dogo akaona ishu...
Jamani je mwanamke akijua kukatika wakati wa majamboz ndio anajua mapenzi?
Vipi kama sio mwaminifu, hakujali, hakuthamini, hakutunzi na wala hakuthamini?
Anakutusi, anakusimanga na wakati...
Salamu zenu wakuu..
Karibuni wote kwenye wiki hii mpya
Hopefully itakuwa wiki nzuri kwa kila mmoja
Wetu..
Chemsha Bongo J3 hii.
20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu...
kuna watu wakiwa ndani ya vyombo vya usafiri ni watu wanaopenda kujionyesha wanajua kila kitu kwa huongea kwa sauti ya juu sana hadi kuwakera jirani zao. kuna jamaa mmoja alikuwa akisafiri kutokea...
Wadau wa jukwaa la Mapenzi, Mapendo na Uhusiano.
Ni wakati muafaka tena wa kutembelea vivutio vya utalii wa ndani kwa mwaka huu wa 2011. Ikumbukwe kwamba hii ilishafanyika kabla kwa wadau...
Wandugu,
Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa...
Cats and Dogs
It's kind of dumb... but ummm,
I used to think that every time it rained an angel began to cry,
And it made me sad to see emotions drip from the sky
Ask me why and I'd tell you...
CCM B, CCM C, CCM D - CCM-X n.k?
Kwanini maneno hayo yamekuwa yakipata nafasi katika siasa zetu?
Je taathira yake ni nini katika siasa za mageuzi na siasa za Tanzania kwa ujumla?
Ninavyojua mimi...
Hebu jamani tukumbushane majina huwa tuna save kwenye simu zetu kama tunahisi kuwa ni shughuli ya nje au nyumba ndogo! Low battery, unknown number, registration, hunter, tuendelee na mengine
Kutokana na amani tuliyo rithi kutoka kwa wa asisi wa Taifa hili idadi kubwa ya wawekezaji wamekuwa wakiingia nchini kuwekeza mitaji na hivyo kuifanya nchi kuwa katika nafasi nzuri ya kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.