JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello floor no. 31 Tarehe kama ya Leo Amadala aliivuta pumzi ya Duniani kwa mara ya kwanza. Nashukuru Mungu na wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo. Asante Mungu kwa ajili ya Kila kitu...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
11 Reactions
118 Replies
13K Views
Wazeee sina mengii nachotaka niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school jinsi ilikuwaga. Hapa ni bongo watu wapo darasani, nachocheka angalia vichwani mwao hao wanafunzi wana mawe ili...
7 Reactions
10 Replies
841 Views
Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa. Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ni ijumaa, ijumaa inakuwaga na stress, uchovu na mawazo mengi...yanini kuyapa nafasi hivyo... Angalia kipande hiki kifupi cha video....haya ndo maisha...
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Kiukweli wimbi kubwa la wanaume wa sasa sijui niseme mabadiliko ya karne au!. Yani wanaume wamekuwa na tabia ambazo zilikuwa kwa wanawake. Mwanaume ni bora kuwa na rafiki wa kike kuliko wa...
0 Reactions
5 Replies
516 Views
Habarini za mwaka mpya wa serikali bandugu ba JF.... Hivi ukiachana na jina Lako unalotumia kwa social media au jina lako lingine la kizungu au kiarabu... Ni jina gani ulionalo la KIASILI ambalo...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Wakuuu; Wangap hatujawahi kupasha matapishi kwa dear x zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
7 Replies
469 Views
Kuna rafiki yangu mzungu alitaka anitumie euro20 yuko nje, nimekataa nimemwambia asante, heshima yangu ni bora kuliko euro20
0 Reactions
14 Replies
531 Views
Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula. Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo. Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula...
1 Reactions
9 Replies
773 Views
Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄). Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu...
47 Reactions
325 Replies
12K Views
Wakuu kwema. Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari? Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua. Wakati mwingine wanavaa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Huu sio uzi wa michezo. Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo. Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk...
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Habari wakuu. Naimani wote ni wazima wa afya. Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili. 1. Kusomesha mwanamke. 2. Kujenga Ukweni.
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Heri ya kuzaliwa kwangu pamoja na Cancerian wote
3 Reactions
25 Replies
730 Views
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa 1: Umekaa zako kwa raha mstarehe, ghafla unakumbuka umri wako🙄 2: Kaka unawaza...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
A Japanese ship is on route back to the shore from the Atlantic Ocean. Seeking the silent waves, the captain decides to take a shower. He keeps his Rolex and diamond studded gold bracelet on the...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
I iringa sio mzaliwa nakuja kujishugulisha na harakati za hapa na pale wenyeji wangu nipes connection jinsi ya kuishi mikoa mingine inakua na miiko flani japo kwa kias kidogo kwa sasa naenda...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni. Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika...
1 Reactions
11 Replies
858 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…