Mwalimu:Musa nenda kwenye ramani kanioneshe Amerika
Musa :Hii hapa mwalimu.
Mwalimu:Nani alievumbua Amerika?
Wanafunzi wote:Musa kavumbua Amerika mwalimu!
hivi rambirambi ya marehemu Osama Bin Laden,inatolewa wapi?na maziko yake yatafanyikia wapi?kama kuna mtu anayecoordinate masuala ya usafiri wa kwenda msibani tuwasiliane kama vp!
wanachuo wawili wa chuo flani walikwenda kustarehe huku wakiwa na gari lao,wakazidisha starehe wakajikuta wamechelewa muda wa kufanya test ya somo flan,wakiwa bado njiani wakafikiria saana...
Mbunge mmoja wa Tanzania alikua akitaliitalii nchi za uarabuni akiwa ameambatana na mke wake... Mwarabu mmoja akamfuata na kumwambia, ''Niko tayari kumnunua mkeo kwa Ngamia 450''
Baada ya...
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.
Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao...
Nawashkruni sana Taswa kwa kitendo cha kuwapa vyeti wanamichezo waliofanya vizuri/ waliozaidia timu zao kufanya vizuri.
Jana mimi ni mmoja kati ya wale tuliokuwa tunafuatilia sherehe hizo...
Anaongea sana hisia zake, anapenda sana atongozwe, anapenda watu wa m pm yaani nahisi kama ni muoga sana wa upweke, hataki midume iche mbali na uwepo wake, huku ndiye nazjaz bwana.nakufagilia...
NIICHOTA KAMA ILIVO...
Wizi wa kupulizia dawa za kulevya kwenye vipeperushi jijini Dar es Salaam
Kufuatia ugumu wa maisha, kunawizi umeingia Dar es salaam na inawezekana ukasambaa hata...
Brain Transplant
In the hospital the relatives gathered in the waiting room, where a family member lay gravely ill. Finally, the doctor came in looking tired and somber.
"I'm afraid I'm the...
baada ya mwalimu wa sunday school kufundisha kuhusu adam na eva jinsi walivyodanganywa nyoka na hatimaye kula tunda walilokatazwa,na madhara ambayo wanadamu wanayapata mpaka leo kwa sababu ya kosa...
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.
happy Birthday, The Finest...
Mother said to her daugher;'didn't i tell you if a guy touches your boobs say DONT! and if he touches your private parts say STOP.'
Daughter replied,' but mom he touched both so i said DONT STOP.'
Wadau najaribu kujiuliza sipati jibu kwanini wazenji wana jeuri na kiburi sana mbele ya serikali ya bara?kwanini wanajiamini kuliko sisi wa bara?kila wanachotaka wao wanapewa?
Kuna tetes kua Osama Ole Laden alikua mshabiki mkubwa wa Man United ali maarufu Mashetani wa Kijani (gamba).Alisema wakati wa fainali ya Uefa Maniu itashinda ila sasa hayupo.Kwa niamba ya JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.