JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi sjui ingekuaje, nyinyi mnaonaje?
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Wadau habari yenu, Kama wiki mbili zilizopita nimepoteza laptop yangu aina ya Toshiba Satelite Pro pamoja na modem ya airtel pale CRDB Bank Tawi la Mbezi kwenye parking ya magari.....Laptop siyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu napenda kuwakaribisha wale magwiji wa siasa za tz katika chama chetu kipya kabisa baada ya kupewa indiketa ya kutaka kujiondoa kabla ya kuondolewa katika chama chao cha awali: Chama cha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Death came to a guy and said my friend, today is your day and the guy Said but I am not ready and death said well your next on my list. So the guy told death that ok why don't you take a seat and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjasilia mali mmoja wa kuburn CD aliponea chupu chupu kufanyiwa kitu mbaya na mabaunsa, alifumwa na mke wa Mdosi wa Masaki. Huyo mwanamke ilikuwa kawaida kutinga kwenye geto la jamaa huku akiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WIFE>Look a that drunk man? Husband>Who is he? WIFE>10 years a go he was my boy friend and i denied him from marriage. HUSBAND>Oh my god,HE IS CELEBRATING TILL NOW.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YouTube - Talking Twin Babies - PART 2 - OFFICIAL VIDEO
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Mfilekile ni jina la Kinyakyusa, wao huwa wanafupisha na kuita Mfile. Mbwambo ndio mwisho wa yote, kule kwetu Tanga wenye jina hilo huipata fresh mtaani kwa kuitwa kwa kifupi. Mbwa au mbo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mwanafunzi mmoja alikua ni mpemzi sana wa masomo lakini tatizo likawa ni moja tu! Kuna jamaa mmoja alikua amemganda kishenzi kisa mpenzi wake wa long time dada ni mwanafunzi wa Sec school...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpendwa wangu Mama Salma Kikwete hasikiki. Mwenye kujua habari zake anijuze. Wengine walisema kakwama kwa Babu Loliondo, wengine ooh..kenda nyumbani kutayarisha mashamba msimu wa mvua, mara ooh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitamani sana hii siku tukakapo washika na kuwatia kolokoloni namna hii mafisadi wanaolindwa na serikali ya CCM.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PROFILE Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe (born 1920) was a politician in Zanzibar. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Most 'First Class' students get Technical seats, some become Doctors and some Engineers, The 'Second Class' students then passes MBA and become Administrators and control the 'First Class', The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
sulihisho la maisha mazuri tanzania ni watanzania kujivua magamba yao na si kujivua kwa ccm peke yake cos watanzania ndio wenye magamba makubwa. na wasifikirie bila kujivua magamba yao nchi hbii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli anatia huruma
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana jf msada kuna uvumi kwamba mubunge afumaniwa na kamera mjengoni akiangaria picha zangono kwenyesim yakeyamkononi mwenyetalifa msada kamanikweri au uzushi nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mke alimuuza mme wake "hv kwann mwanamke akiwa anatembea na wanaume weng huitwa majna meng tena ya ajabu ajabu lakn mwanaume akiwa anazn ma wanawake weng huonekana shujaa mara utackia akiitwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MKE>Darling leo nimeanza kufanya DIET MUME>Ooh very nice Konda mwili wote lakini please usije UKAKONDA MAKALIO YAKO
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga. 1.Antimbulenge 2.Licholonjo 3.Litowonyo 4.Nampwenge 5.Lingwalangwanji. Endeleza.............
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom