Mke wa Yule fisadi papa Yusuph Manji amejikuta akipokea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kukutwa akiangalia kipindi fulani kutoka ITV, Kwa madai kuwa hakuna mtu yeyote katika ile familia...
A good woman is proud.
She respects herself and others.
She is aware of who she is.
She neither seeks definition from the person she is with, nor does she expect them to read her mind.
She...
Nimefuatilia na kubaini kuwa kasi ya CCM kusikiliza, Kujiuliza, Kujifunza na Kuchukua hatua ni ndogo mno. Mbaya zaidi Wana CCM ni wakaidi sana wanapoambiwa ukweli, huwa wanakuwa wakali na kutoa...
Picture From: "Tanzania Daima" April 15, 2011, Page 1
Jamani, watoto wetu wana-risk kifo kila siku wakivuka barabara hadi wanashikana mikono ili kupambana na kifo au kama ni kufa wafe pamoja...
KIBAO kimewageukia wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini baada ya kudaiwa wamekuwa mstari wa mbele katika kufanya vitendo vya uchakachuaji, imeelezwa. MZALENDO ilielezwa kuwa kelele zilizokuwa...
Wana JF,
Nimejaribu kufikiria dira ya uongozi wa JK nimeshindwa. Miaka mitano imepita, sijajua alikuwa ana lengo gani hasa ambalo alilivalia njuga kuhakikisha linafanikiwa. Nilichokiana ni...
Wabunge wa ccm wanashangilia ushindi.
Ni vyema tukakukumbuka kuwa hata siku moja serikali iliyo madarakani haiwezi kuwa na nia ya dhati kubadilisha katiba bila kushinikizwa kufanya hivyo. Na...
Nilikuwa najiuliza na kufikiria uozo ulipo kwenye hii nchi hasa kwenye masuala ya mafisadi!Kwa kuwa uongozi wote uliojuu umeonyesha kushindwa kusimamia haki ipasavyo hali hii imesababisha kila...
ICC suspect loses Sh840m at Jomo Kenyatta International Airport
By Standard Reporters
Police are investigating the reported loss of hand luggage containing about Sh840 million in hard cash. The...
Taarifa kwa vyombo vya habari:
VIONGOZI KUTEKWA NYARA
UTABIRI WA MWEZI APRILI
"Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na wafanya biashara maarufu wajichunge...
hii serekali ya sisiemu kweli ni uoza mtupu,jana kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku walionyesha tena ujuzi wao wa kuwadanganya wapiga kura wao wakulima ni kwa namna gani ni ma...
KWANINI MAFISADI WOTE HUTOKEA KASKAZINI,NYANDA ZA JUU NA SIO PWANI?
1) Jee huko maadili yamekuwa mabaya
2)Wajanja sana na wanajua matumizi tofauti na viongozi wa mikoa ya pwani?
Mama mkwe mpenda kuharibu ndoa ya mwanae kaenda kutibiwa nyumban kwa mwanae,bahati nzuri kamkuta mkwe wake mjamzito.....maroa miez imepita mtoto wa mwanamke mwenzie kajifungua dume la mbegu..mama...
After a luncheon hosted by the Queen in London in his honour, the former Ugandan leader Idi Amin had this to say for his vote of thanks. (Personally I cannot believe this is true.)
His...
kuwa na mpango thabiti wa kuakikisha watu hawa jamii ya kihindi haimilikishani haya majumba ya National Housing, kuwe na utaratibu wa kuakikisha waliopanga ni wenyewe kufuatana na orodha ya...
I was in the restaurant yesterday when I suddenly realized I desperately
needed to pass gas. The music was really, really loud, so I timed my
gas with the beat of the music.
After a couple...
Hivi karibuni wameibuka akina babu , bibi, dada na kaka kama Dr. wa kikombe kimoja anayetibu magonjwa sugu kule Loliondo Samunge. Baadhi ya mikoa hapa Tanzania bara na kule Zanzibari wameibuka...
Jamaa mmoja baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu alikimbia uchi hadi nyumbani kwake: Mkewe akamuuliza kulikoni hivi tena: Mume akajibu nimevamiwa na majambazi wameninyang'anya kila kitu hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.