Wana JF, napenda kuwafahamisha kuwa sasa wasomi wetu wanaanza kuja na mwelekeo tofauti na tunavyoweza kudhani. Spika wa Bunge la chuo kikuu cha Dar es salaam Daruso ambaye amemaliza muda wake...
Mama Chipoku kamuuliza baba Chipoku mbona vinyago unachonga vizuri sana lakini watoto wako wana sura mbaya sana? Baba chipoku akajibu Vinyago nachonga nchana na watoto nachonga uchiku.
kuliombea taifa kila mtu anawajibu huo mimi huwa naliombea na sina kanuni kuwa leo nitasema nini mfano sasa nasema hivi
`BABA YANGU WA MBINGUNI ULIENIUMBA MIMI NA WATANZANIA WENZANGU, NA UMETUUMBA...
Nilikuwa nawasiliana na rafiki yangu wizara ya nishati na madini kuhusu uzalendo na upendo ndani ya wizara, cha kushangaza ni jinsi gani wafanyakazi serikalini wanalazimishwa kujionyesha kuwa ni...
BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere aliwahi kusema: "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM''. Kauli hii sikuielewa na sikujua lengo la kusema vile wakati yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama...
hii ni ishara ingine kwamba ccm bado ina magamba mengi zaidi ya iliyojigambua.
mimi nafuatiliaga kauli za wana-ccm kwanzia herufi ya kwanza, koma, nukta, vifungua na vifunga semi, alama za...
Mpambano bado unaendelea kati ya Timu ya CCM na CDM. Mpaka sasa CCM wameshabadilisha wachezaji (CC) lakini bado wanazidiwa kimchezo.
Mechi ya kwanza CCM wamashapoteza baada ya kuleta Muswada wa...
Nyani haoni- varisa miwani. Debe tupu- weka dengu au choroko. Masikini akipata - iko acha katika jumba ya watu. Asie sikia la mkuu- pelaka polisi. Penye wengi- iko kutano ya ccm. Penye kuku wengi-...
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko...
Katika Maisha Unaweza Kukutana Na Watu Wengi Ambao Unaweza Kuwasahau Lakini Baadhi Yao Huwezi Kuwasahau Ambao Wamekufanya Ufanye Kitu Tofauti Katika Maisha Yako Na Najua Kama Mimi Ni Mmoja Wao...
Nilishtushwa na spica wa bunge jinsi alivyohandle vurugu zilizotokea bungeni juzi kama sikosei iko video yake kwenye michuzi mpaka leo. Kuna ibara mbili zilinishtua sana. Kwanza ni ile aliyosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.