JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninajua kuwa mnajua kuna serikali ya muungano na ile ya zanzibar. Lakini wabunge wetu bungeni kila wanapotoa mada utawasikia wanasema, na ninawanukuu... huu ni umahiri wa serikali ya CCM napenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakaa sehemu kama hii bila kujali onyo.. When you believe on "love at first sight" 3. Wee ni mswahili, pale uamkapo asubuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sambusa=watch mosquito watc. Mambo yamepamba moto=thing is cotton fire. Fatuma kazimia =far two mer job hundred. Bamia= hundred. Nyumba ndogo=small house. No smoking=hakuna mfalme mfupi.radio=...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
smtyms nkisoma majna tu na nkichek avatar huwa nafrah!
0 Reactions
32 Replies
3K Views
ivi niaje pale chelsea kila akija striker wa ukweli kum-replace drogba, anafulia mbaya toka enzi za chevi,nawasiwasi drogba yuko kiafrika zaid a.k.a kaaga kwao
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwalimu aliwaambia wanafunzi wake wachore picha ya mnyama tembo.Wanafunzi walijitahidi kuchora hiyo picha kwa ustadi tofauti isipokuwa john alichora nukta tu.Mwalimu alipomfikia kukagua picha yake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Muunini alienda kuungama kwa Padri, maungano yalikuwa hivi, Muumini: nakuungamia mungu wangu nawe Padri wangu kwa kuwa nimetenda dhambi, dhambi zangu ni hizi, nimehifadhi picha za ngono kwenye...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
how mothers deliver a baby from little girl point of view, nakumbuka mama yangu aliniambia watoto wanapatikana baharini kwa hiyo yeye alienda kumuokota mdogo wangu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
na Salehe Mohamed HOFU kubwa imezuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya hatua ya uongozi wa chama hicho kuwapa muda wa siku 90 wanachama wanaotuhumiwa kwa ufisadi. Sasa baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jamii! Kama kawaida CCM imeendelea kupoteza mvuto mbele ya wananchi, hii nimelishuhudia jioni ya leo hapa ZANZIBAR, ambapo alikuwa anakaribishwa katibu mkuu mpya pamoja na naibu katibu wake...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Gazeti la Jamba Leo limeendelea kutoa ushuzi; na katika hali inayoonesha ni kukuza mambo kinafiki na kishabiki, gazeti hili la propaganda za UVCCM limeibuka na habari yenye headline ambayo...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Mvuta bangi karudi nyumbani siku moja kampata mkewe kitandani na chupi ya mkanda mmoja tu kwa nyuma(G-string) Jamaa kaangua kicheko hadi mke akaamka na kumuuliza, 'Wacheka nini?' Akamjibu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie utafanya nini hapoooo.......
0 Reactions
39 Replies
4K Views
A Nigerian man who makes caskets was on his way to deliver one of the coffins when his car broke down. Trying not to be late, he put the coffin on his head and began heading to his destination...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
'Twas the night before Christmas, when all through the house Not a creature was stirring, except Papa's mouse. The computer wholesale electronics was humming, the icons were hopping, As Papa did...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
University students waliingia kwenye quiz ya kuongea,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie. Kwakuwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimesikia eti huko Tanga kuna pub moja maarufu kwa kuuza kitimoto inaitwa hatutajani majina pub na hii ndo slogan ya wateja wake wote.Kwa wale ndugu zetu wa huko tanga,hizi habari ni za kweli?na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya majina ni ya watu wa wapi vile? Shemdodo shemweta sheruko sherukindo ... ... ... ... shetani... Nataka kujua maana nasikia ni wenyeji wa tanzania
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanaudh sana wabunge wa ccm kaz yao kukataa hoja za wapinzan hata kama ni za msingi kwa nch yetu! badilikeni lasivyo mkija majimboni tutawachapa..!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inakuwaje livuliwe gamba na kuwachwa sumu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom