Kuna mlevi mmoja alikuwa katokea kilabuni akapita karibu na Mahubiri na mambo yalikuwa hivi
Muhubiri: Ndugu zanguni tubuni ili muweze kwenda mbinguni, huko kuna asali
nyingi saaanaaa na maziwa...
Aliyemtengeneza hakumtumia,alimuuza tu.Mnunuzi naye alimnunua lakini naye pia hakumtumia.Mtumiaji alimtumia lakini kamwe hakumjua,je yeye ni nani huyu?
Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs. 75,050/= tu. Ghafla majambazi wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho!!!
Majambazi wakakusanya...
Ukitaka kufaidi raha ya $ex ucfanye na afande, atakuambia 'mikono juu' wala acwe mha§ibu atakuambia na huku lazima iballance, docta atakuambia mwingine aingie! Naku$haul fanye na mwl yeye...
Paddy and his two Irish friends are talking at a bar.
His first friend says: I think my wife is having an affair with the electrician. The other day I came home and found wire cutters under our...
kuna jamaa wamenishangaza sana pale buguruni sheli. wakati magari yakiwa kwenye foleni, yakisubiri kuruhusiwa, njemba mbili ziliona kupita nyuma ama mbele ya sam trela ni ishu. wakaamua kuinamisha...
Kwanza niseme yafuatayo
Kama namuunga mkono babu wa Loliondo sijui, na kama simuungi mkono babu wa Loliondo mimi sijui....
MoD pamoja na kuwa kuna nukuu za Biblia tafadhali naomba msiihamishe...
Kwa babu Loliondo kuna vituko sana.
Chek bob mmoja (mijini ni maarufu kama Sharobaro), akiwa kavalia mlegezo na miwani mikubwa yenye giza, alifika kwa Babu akiwa anasumbuliwa na presha. Ilipofika...
Jamaa alikuwa na matatizo mengi akaona hana pa kutokea isipokuwa kujitoa maisha. Akapanda ghorofa ya kumi ili ajitupe. Akiwa anachungulia chini, akamwona mtu hana mkono hata anatabasamu, meno nje...
Padre kauliza Waumini,
PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyofichama,
kina wingi wa unyevunyevu, kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumba?
WAUMINI: Kimya huku...
Kichaa alikuwa amevaa miwani jicho likawa linamuwasha. Alipokuwa akijikuna akawa anakuna juu ya miwani ndipo dada mmoja akamuambia si uvue hiyo miwani ndio ujikune? Yule kichaa akamuambia "Hebu...
Jamaa watatu walienda guest.Walipouliza bei ya chumba,waliambiwa ni sh.30000 kwa chumba kimoja.Wakaamua kuchanga kila mmoja sh.10000 wakamkabidhi mmiliki wa guest.Mmiliki wa guest alipofika ndani...
Nashanga sana kwamba viongozi wetu wa siri kali asimilia 95 hapa TZ hwamjui Gaddafi. Wanajuwatu kuwa ni raisi wa Libya ila hawamfahamu alivyo. Nashangaa wanapo sema hao western countries wasi...
Kuna mzee mmoja alikuta kundi kubwa la ndege,akalisalimia kwa kusema,shikamooni ndege mia,ndege walipaza sauti wakisema sisi sio ndege mia,bali waje kama sisi,waje nusu yetu,waje pia robo yetu na...
kuna mzee mmoja alikuwa basha lami[mombasa]nzimaa,yani hakunaa kijana ambaye hakuwai kumchokoraa...siku mojaa alimwambia mwanae[mwanangu hapaa kijijini kwetu hakuna kijana ambaye sija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.