Wakuu, ni kama joke lakini wikiendi hii nilimkuta dogo mmoja amelewa chakari kijiweni, nilipofika tu akaanza kuniambia, "Bro, hivi ikiwa dawa ya babu, wanayosema inatokana na mti wenye sumu, ikawa...
MBUNGE wa Jimbo la Moshi mjini (Chadema), Philemon Ndesambro, amewataka wakazi wa Moshi kutoogopa kukopa fedha kwenye taasisi za fedha nchini kwa sababu, hata yeye amekuwa akikopa kuendesha...
p { margin-bottom: 0.08in; } Hukumu ya Siku ya Mwisho kwa Mfanyakazi wa Serikali
Jamaa moja alijiriwa na Serikali ya Muungano wa Tanzania kama Mtunza kumbukumbu katika Wizara fulani...
jamani duniani kuna watu wa ajabu sana,yaani huwezi kuamini leo kanisani nimekaa na mtu anavuta sigara ndani ya kanisa bila uwoga,nilitetemeka nusura niangushe bia yangu!!LOL!
March 28, 2011
Katiba yetu ya Zanzibar ndio dira! Kama kuongeza au kupunguza ni ndani ya Katiba ya Zanzibar. Tukiishadidia Katiba ya Jamhuri ya Muungano ni sawa na kuutawadhisha ubatili wa...
Mbunge Awasilisha Hoja Binafsi Kuhusu Uvamizi wa viwanja vya Wazi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amewasilisha hoja binafsi kuhusu uuzwaji/uvamizi wa viwanja vya umma maarufu kama...
Mfumo wa utawala wa kidemokrasia unatofautiana mno na mfumo wa utawala wa kijeshi au unaoongozwa na wenye kujengeka na wenye kasumba za kijeshi. Siasa ni mfumo wa demokrasi unaowaruhusu watu...
hivi kuna tofauti gani kati ya watanzania na waliopo jela?
kwanza kuna wengi waka jela na hawana hatia lakini pia jela kuna ulinzi wa kutosha
ukirudi kwetu sisi tulioko huru ukisema tu...
Bibi kizee kasikia Ziraili anatoa roho vizee zaidi...:Bibi kwa kuogopa kufa akaamua ajifanye mtoto mdogo. Akaanza kusema kitoto na kula vyakula vya watoto. Siku moja alipokuwa anakula CERELAC...
A man is sitting in the pub with his wife and he says, I love you.
She asks, Is that you or the beer talking?
He replies, It's me talking to the beer.
Nakumbuka Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha Mzee Ruksa alikuwa na tabia ya kutoa amri za siku 7 au 21! jee hizi amri za CHADEMA za kutoa siku 7, 9 au 21 zinaashiria...
TEACHER: Maria, go to the map and find North America.
MARIA: Here it is.
TEACHER: Correct. Now class, who discovered North America?
CLASS: Maria.
************
TEACHER:John, why are you...
a friend in need is a friend to avoid.
******
do unto others as they would do unto you. Just make sure you do it to them first. ******
all good things cometh unto he who waiteth, as long...
Mchungaji alikuwa anawafundisha vijana somo la upendo na kusisitiza "PENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA". Baada ya mwezi mmoja, kijana mmoja akamwendea Mchungaji na kumwambia, "MCHUNGAJI, SOMO...
1. Hupenda kwenda bar na kumbi za starehe kuliko lecture na semina.
2. Hushinda room kuliko library
3. Hufahamu mitindo ya mavazi kuliko module
4. Huogopa sup, carry na disco kuliko dhambi
5...
Old people´s home
A man was taking his old Mother to a home for old people. He wanted her to have the best one so he was investigating many of them. So one day he came to a home and the Head of...
Naomba kuulizia nundu ya Makamba usoni kulikoni?
hivi nundu ya Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba usoni inatokana na nini? anayejua jamani maana kama zile kuna mtu alimpachika...
Msione kimya wandugu ,nipo LOLIONDO tangu Jumatatu na nipo ktk foleni mtu wa 1690 na foleni inaenda polepole ,kwa nyuma zaidi nawaona mizengo pinda wa 1703,olesendeka 1780,rostam 1900 na wengne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.