JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haya WATZ kumekucha sasa. Tulianzia loliondo kusikia, kuona, kuamini na hatimaye kunywa kikombe kinachotibu magonjwa sugu. leo hii tunaanza kusikia huku wakituambia tuamini na kufika kunywa dawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nianze kwa kuweka wazi kuwa sina hakika na imani ya huyu ndugu yetu Mohamedi Shossi, sijui kama ni mwislamu, mkristo ama muumini wa dini nyinginezo. aliweka wazi kuwa babu si size ya Yesu na...
2 Reactions
366 Replies
29K Views
Udaku mtupu, Umbea Orijino, Yaani bora usisome. Niliwahi kusikia siku moja mh makufuli amejiuzulu. Pale magogoni kabla hujakamata wizara kuna mfumo ulioanzishwa na mchonga meno ambapo unasaini...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Howard had felt guilty all day long. No matter how much he tried to forget about it, he couldn't. The guilt and sense of shame was overwhelming. But every once in a while he'd hear that...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kifupi kuna agizo kutoka chama cha CCM kwa jeshi la polisi ili kuwakomoa wanaharakati wa Chadema wanaomiliki mabasi ya Usafirishaji katika jiji la Dar es salaam na mpango huo umeanza toka jana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nov 1884 - Feb 1885 ulifanyika mkutano jijini Berlin ukiongozwa na Otto Von Bismark akipendekeza kuligawa bara la Africa. Kuligawa bara la Africa hayakuwa matakwa ya Africa hata kidogo. Takribani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cheka Upasuke | Facebook
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Utofauti wake wa mwendo ulimfanya baba ake amuulize... baba: Mbona unatembea ivo kama unayumbayumba baharia: Unajua baba, nimefanya kazi muda mrefu ktk meli na kule kuna mawimbi, kwaiyo kule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
✔EGYPT: ███ 100% Complete ✔TUNISIA: ███ 100% Complete ✔LYBIA: Downloading... ✔ALGERIA: Downloading... ✔IVORY COAST: 60%...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Fikiria CCM wana-organize maandamano na kufanya mkutano kulaani maandamano na mikutano ya Chadema Dar au Mwanza au Mbeya au Arusha halafu viongozi Wasira, Yusuf Makamba, Tambwe Hiza na Sofia Simba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
What are the 3fastest ways of communication in the world? 1)Tele phone 2)Tele vision 3)Tell a woman IF YOU WANT FASTER!TELL HER NOT TO TELL ANYONE!!!!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wajukuuuuuuu zangu hamjambo? nisaidie babu yenu sina nguvu za kutoka kitandani,uzee umeninyemelea na sina mtoto wa kumtuma kwa Samir pale interneti,ni kwamba watoto wangu wote wanaishi libya na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Binafsi sioni juhudi zozote za cheyo, kujenga chama cha UDP.Au ndio ameshakibinafsisha na kuwa NGO ya CCM?Naomba ufafanuzi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Does skin colour really matter? To these two kids – obviously not… When I am born, I am black When I am grow up, I am black When I am go in Sun, I am black When I am scared, I...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kuwa hatua ya awali ya kuoteshwa juu ya dawa ya kutibu magonjwa sugu imefanikiwa... Sasa kinachofuata ni hatua ya pili.... hii itausisha na ndoto ya babu ya rais ajeye, ambaye atatokea...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Salam sana wana jf. Mm nimefka kwa babu tangu jmosi nasijapata huduma kutokana na foleni kua kubwa.ila nliojionea! wenyenye vfafa,wanapata glasi ndani ya dk2 waepona.hakunapovu wala maulimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja wa tuition alipewa jukumu la kumfundisha hesabu mtoto aliyeshindikana kwa usahaulifu.Mwalimu kaanza somo kama ifuatavyo;4+5=9,sawa mikogo?Mikogo kajibu sawa mwalimu,mwalimu akarudia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kikwete ashitukia maandamano, migomo Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 5th February 2011 @ 23:50 RAIS Jakaya Kikwete amesema amegundua kuwapo njama za makusudi za kudhoofisha Serikali yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, edited by Gurti
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom