JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MCHUNGAJI Ambilikile Mwaisapile ‘Babu’ ametua Dar es Salaam kutoa huduma yake ya tiba ya kikombe kwa muda akisubiri eneo lingine kubwa zaidi aliloahidiwa na Serikali. Babu aliwasili Alhamisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu ni waziri katika serikali ya Mh JK. Wiki iliyopita nilipishana na gari lake kwenye majira ya saa tisa usiku nikashangaa. Nilipompigia simu kumuuliza kulikoni na gari ya serikali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
African court on human and peoples' rights accuses regime of killing peaceful demonstrators Thursday 31 March 2011 21.44 BST A Gaddafi supporter in Misrata. The regime is accused of human...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananikera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto. Haki ya mtoto hapa iko wapi??............... akikojoa kitandani anachapwa, ila mtu mzima akitaka kukojoa, anapigwa mabusu motomoto...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Ni kutokana na kashfa ya vita ya Libya, Habari ndiyo hiyo! ... watch this space, more info to follow!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nipo mitaa ya benjamini hapa kuna moshi mkubwa mpaka mida hii zimamoto hawajafiak///sijiu hii nchi ina matatizo gani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gaddafi amekimbilia kwa swahiba wake Kikwete Gaddafi secretly arrives in Dar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni baada ya tume mbalimbali. 1). katika idara ya fedha fedha alizopata babu.kwa siku hutibu watu 24000 @500 shs mara siku 65=780,000,000. 2). watu aliotibu. 24,000 kwa siku mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani hizi njaa zinatupeleka pabaya na hawa viongozi wetu inaonekana ni hopless mandazi. Bibi mwingine yupo mtwara katk kijiji alichozaliwa mkapa naye anagawa kikombe kwa jero jero. Mpaka jioni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mfugaji wa kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ili ampe mwingine kwani anatukana sana, Muuzaji kampa mwingine na kumwambia huyu mstaarabu ten akinyanyua mguu wa kulia anaongea kiingereza, wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Karume baba alitembelea gerezani kwa nia ya kutoa msamaha kwa wafungwa ambao makosa yao hayakuwa makubwa. Kila mmoja akaeleza kosa lililomleta pale kama kuiba kuku, kumtukana jirani. Ilipofika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikiliza hii video ambayo imetundikwa kwenye Youtube. Msikilize mzungumzaji wa pili akizungumzia Rais JK kupata kikombe cha Babu. Je ni kweli? Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
As alaykum.Naitwa Ally, ni mwalimu shule ya sekondari serikalini,umri ni miaka 25.Natafuta mke wa kumuoa Serious! Awe na sifa: *Muislamu Mchamungu *Asizidi miaka 22 *Awe amehifadhi Quran Tukufu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Padri na shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha shekhe kitimoto,shekhe akasema si hatulagi, padri akasema mnakosa uhondo. Wakati wa kushuka shekhe akamwambia padri msalimie mke...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mtoto mmoja wa kichina, Yu U. Chi, alihamia Marekani na wazazi wake . Siku ya kwanza ya darasa, baada ya mwalimu kumtamblisha akasema. Leo tujikumbushe kidogo historia ya Marekani. Nani alitamka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kati ya maswali ambayo huwa najiuliza na sipati jibu ni-kwanza,vipi sumatra wanashindwa kudhibiti daladala kujipandishia nauli kiholela- hasa jijini dar? pili; hivi wakati wa mwaibula hakukuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani hizi njaa zinatupeleka pabaya na hawa viongozi wetu inaonekana ni hopless mandazi. Bibi mwingine yupo mtwara katk kijiji alichozaliwa mkapa naye anagawa kikombe kwa jero jero. Mpaka jioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
(a)Ni mayai mangapi waweza weka katika kapu tupu? (b)Ni Mara ngapi tunaweza kutoa 6 kutoka 30?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hana miguu lakini anasimama... Hana mikono lakini anachapa watu wazima mpaka wanalia... Ni mdogo kiumbo,lakini akikasirika anaongezeka ukubwa.. Ana jicho moja,lakini usiku kwenye giza anaona...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom