Jamani nimeoteshwa sasa hivi, ndo nimeamka niwaambie. Nimeoteshwa nichemshe kunguru akiwa hai kwenye chungu kikubwa halafu nichanganye na mavi ya nguruwe. Supu inayopatikana hapo ni dawa ya...
Fools day ni siku katika siku ninazozichukia sana hasa kwa wale ambao hawajui jinsi ya kuitumia. Siku itumie kudanganyana nyinyi wenyewe yaani mtu kwa mtu na sio kuliambia taifa swala la msingi...
Leo saa 6 mchana babu atakuwa viwanja vya Jangwani Dar es salaam akitoa kikombe kwa wenye shida wote. Babu ameamua hivyo kusherehekea siku ya leo na kurahisisha huduma kwa wananchi. Kikombe...
kwa miaka ya hivi karibuni kumeibuka makanisa kibao ambayo theme yao kubwa ni uponyaji wa magonjwa mbalimbali waliyonayo bin adamu. sasa mimi swali langu ni kwamba hivi haya makanisa yamekuwa...
1) Nakumbuka wakati mi mdogo kutoka angani kulipeperushwa karatasi zenye picha ya Mwalimu Nyerere wakati huo akiwa Rais. Picha hiyo ilikuwa ikimuonyesha Rais akiwa ameshika kichwa huku akionyesha...
Habarini za asubuhi wana JF!!!!!!
Leo ni sikukuu ya wajinga muwe makini msije ingizwa chaka kama sio vyoo vya kike/kiume!!!!!!!
Nawatakia siku njema!!!!!!
Katika kuonyesha kuwa masharti ya babu hayajafuatwa DR wa uongo leo asubuhi ameanguka tena kwa kilichoelezwa kuwa baada ya kunywa dawa hakutoa ushuhuda. Source: msaidizi wake-...
niaje waungwana? Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa jf. Hii forum naikubali sana kwani ni ya ukwe-eh 7bu robo ya siku huwa najikuta nakuwepo hapa maana hapa huwa...
By DAILY NEWS Reporter, 31st March 2011 @ 20:00, Total Comments: 0, Hits: 302
VETERAN CCM politician and East African Cooperation Minister Samuel John Sitta on Thursday announced that he was...
Huku hali ikiwa si shwari ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) aliyekuwa spika wa bunge la tisa na waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki mh. Samuel Sitta inasemekana amejiunga na chama cha...
Roho ya ndoto za kutibu magonjwa sugu imeendelea kutenda kazi baada ya bibi mwingine hii leo kujitokeza huko Mwanza. Habari hizi nimekuta zinafikia mwisho hapo WAPO FM.
Kuna babu wa Mbeya, yuko maeneo ya Sae. Kuna babu wa Tarakea, Mpanda nako kaibuka babu kwenye pori la Katavi anagawa dawa kama babu wa Loliondo.
Je ni wapi taifa linakoelekea? Je tunasonga mbele...
Mimi
S.L.P 0000
Hapahapa
YAH: MAOMBI YA KUSHEA MAPENZI NA BWANA AKO/MKEO.
Rejea kichwa cha habari, mimi ni msichana/mvulana mwenye umri wa kutosha tu na mtanzania halisi. Naomba kushea mapenzi...
WanaJF leo ni siku ya wajinga jinga hivyo kuweni makini na ujumbe wowote au taarifa yeyote utakazopewa..usikurupuke na kuzifanyia kazi bile kupata uhakika na ukweli wa jambo/tukio/taarifa au ujumbe.
(a)utamuwekaje twiga ndani ya jokofu(fridge)? (b)utamuwekaje tembo kwenye jokofu? (c)kulikuwa na mkutano na wanyama wote walishiriki kasoro mmoja,we unadhani...
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa ameamua kukifuta chama cha mapinduzi kutokana na chama hicho kukumbwa na mgogoro wa ndani uliosababisha amani kutoweka ndani ya chama hicho.Haya...
Babu wa Loliondo kutoa vikombe Jangwani
Imeandikwa na Waandishi Wetu, Dar na Loliondo; Tarehe: 31st March 2011 @ 23:30 Imesomwa na watu: 253; Jumla ya maoni: 0...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.