JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mzee fulani mwenyeji wa Mbeya alikuwa anajitahidi sana kuwahusia mabinti zake wawe na maadili mema na kila mara alikuwa akijisifia kwa wenzake kuwa binti zake si kama wa wenzake: si malaya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti kisa cha Pweza (Paul) kufariki aliambiwa atabili ni lini Tanzania itafika kombe la Dunia? Akazimia mara 3 alipozinduka akakuta wameleta na jez kabisa atabili vizur akizimia tena na mauti kumkuta.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The American book - How to Make Bigger And Better Elephants or: There's Money in Elephants The Canadian book - Elephants: A Federal or State Issue? The English book - Elephants I have...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kijiji cha **** wananchi walijengea kisima cha kijiji Wakati wa uzinduzi wa kisima hicho Mh:Mizengo Pinda akaalikwa kuwa mgeni rasmi. Wakati akionyeshwa mandhari ya kijiji hicho akapelekwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja nyumbani kwake maana alinialika kwenye sherehe ya mtoto wake wa kiume kutimiza umri wa miezi sita. Nikashangaa kukuta Lori aina ya fuso linateremsha shehena kubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumia 9 sita kupata 100.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Wana Jf Naomba kuuliza swali kwani tumeone viongozi wa baraza la mawazili karibu wote wamegonga kikombe cha BABU,sasa swali langu ni kuhusu Mh Raisi wetu Jakaya Kikwete ni kweli amepata kikombe...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Closed
Umekuja bila kuitwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakiwa kwenye mazoezi ya kuogelea, walimu walipata shida na mtoto mmoja wa kabila fulani kwani alikuwa analia sana akidai kuwa hawezi kuogelea kwa kuwa anaogopa kufa. Mwalimu mmoja kwa kuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nasikia eti wenye Hospital wanakosa kipato na karibu zitafungwa kwa kukasa Wagonjwa, hivi ina maana magonjwa nchini yamepungua ama yameisha ? pia wale waendesha maombezi nao wanalalamika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
why? lazima sasa kuwa na ID zaid ya moja kwa sababu unaweza kula ban any time ikala kwako.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
hawajamaa kama utakua umewafuatilia kwa uhakika utagundua ni frimason live,angalia mazingira wanayoshinda na magoli wanayofunga utaamini kunakitu hapo,sio suala la kuacha kulijadili,tena hawa...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
mchaga kapata mtoto wa kipwani,kwenda nae guest mwanamke kavua nguo shanga tele kiuoni. Mchaga: "YESU NA MARIA,HIZI ROSARI ZIMEIBIWA PAROKIA GANI?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jee nikwa nini tusiwe na vijana wetu wenyewe ktk JWTZ Z’bar Badala ya makambi yote kujaa Wakuria? Mimi nahisi hii ndio kutawaliwa ki-Jeshi na watu tusio wafahamu wala wasio na asili ya Zanzibar...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna Mkulima ktk kijiji fulani alikuwa anasumbuliwa sana na panya, ili kujikwamua na tatizo hilo,akaamua kutega mtego na badala ya panya kunaswa, akanaswa nyoka, mara kuku akatokea na nyoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Babu Ambi wa Loliondo aliwaambia wagonjwa wakae kwenye mistari....wale wenye ukimwi mstari wao na wale wenye kisukari pia mstari wao. Watu wote wakajaa kwenye mstari wa wagonjwa wa kisukari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
matonya mwenyewe Shida chidabwa Chibede Chihoma Matika Mtegaa Chonya
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Baba alimwambia mtoto wake, chukua hii sh. 500/=usimwambie mama yako kama nimelala kwenye chumba cha house girl. Mtoto akasema, "Baba wewe ni bahili sana, mbona mama alinipa sh. 1000/=...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom