JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna mahema. viti. jukwaa. muziki(kama kawa). watu wa kwamnyamani mtujuze.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri. Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years! Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea. Hivi huyu jamaa hawezi...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Jamaa mmoja alimpokea baba yake kutoka kijijini.Baba yake toka kuzaliwa hakuwahi tia mguu mjini.Jamaa alikuwa akiishi mjini katika chumba kimoja na mkewe na mtoto wao mmoja hivyo ikawa vigumu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani natafuta kazi civil Technician ntapataje?
0 Reactions
0 Replies
996 Views
YouTube - Emerson - Mommy's Nose is Scary! (Original)
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Sharobaro anaumwa tumbo la kuharisha, kufika kwa dokta anaambiwa aelezee shida yake, akaanza "Unajua meen naumwa meen" Dokta; Unaumwa nini? Sharo B: Meen naumwa tumbo alafu nakunya Haraka haraka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mabasi mawili yakiwa na familia inayojiita ya babu yanaelekea kwa babu yakitokea mbeya madai yao hawendi kutibiwa wanaenda mtembelea ndugu yao. Wengine wanadai ni mjomba wao.. Wengine binam...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Unapokuwa umeishiwa....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Two antennas meet on a roof, fall in love and get married. The ceremony wasn't much, but the reception was excellent.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Hii ilitokea huko wilayani chunya mkoani mbeya.Mke na mume wakitoka shambani mara ghafla chatu mkubwa aliwavamia na kumdaka mwanaume.Wakati chatu anajiandaa kumvunja mbavu na hatimaye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Enjoy your wekend!
0 Reactions
1 Replies
884 Views
When darkness falls and were apart Can love heal this lonely heart I love you dearly that I do Sleep is good when dreaming of you With all my love I give to you You are so sweet I know not how...
1 Reactions
0 Replies
946 Views
Mambo ya kwa babu!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume. Naishi Dodoma. Natafuta mpenzi wa kuliwazana. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Sitanii, kwa hiyo na yeye asitanie. Atakayekuwa tayari ani-PM. Ahsante
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanajamvini naomba msaada kwa anayejua . nina karatasi yangu muhimu nimekosea kuandika nilipenda kuifuta ili niandike tena. wenzangu hapa ofisini wamenishauri baadhi ya dawa kama nail remover ...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je, 1.una kipaji cha kuhuzunika na kuweza kutoa hadithi feki kumuhusu marehemu jinsi alivyokuwa mtu mwema? 2.Una mavazi rasmi ya kuombolezea na handkerchif za kutosha? 3.Unaweza kulia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Daktari wa vichaa aliingia wodi ya vichaa kuangalia wagonjwa wake wanaendeleaje. Akawakuta wagonjwa wote wametulia huku wakimsikiliza mgonjwa mwenzao ambaye alikuwa anaonekana kama anawahubiria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MZEE VITUKO....USHAURI Mzee mmoja baada ya kupata tetesi kuwa kijana wa kijijini kwake anachukua mke wa mwenzake, alimfuta na kumwambia. Mzee:....kama unafanya, basi si vizuri unavyofanya hasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kulikua na mpare na mchaga waliokua wanasafiri kwenda tabora kibiashara walipofika singinda wakaamua kuchukua gest walale kwa7bu ilikua usiku sana hakukua na magari yakwendelea na safari.kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom