JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekumbuka Hii MSN group ya kwanza kwanza kabisa kwa hapa Tanzania ambayo ilivuma sana kwenye miaka ya 2003/2005, hii Group ilisababisha watu wengi kuvujiana heshima baada ya kujafahamiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwakyembe anatafuta Pepo chafu la kumdhuru *Amesahau Mengi ni ‘Barrick’, Kilango hoi KUNA chembe ya kutaka nafasi ya 'u-wokovu' na hata 'ufia dini' ambayo inaelekea inagombewa na baadhi ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za kuaminika toka ndani ya Wanachama ngazi ya juu chama cha CCM inasema, wataalamu kutoka South Afrika walitumia ujuzi wao wa kuongoza Raia kwa kuwafundisha Serikali ya Tanzania kumtumia...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani huu ni wivu wa kiimani au nini wadau?...huyu Mtu kumuonea wivu Babu anamaana gani. hebu ichekini hii taarifa ilyoandikwa na Elizabeth Suleyman gazeti la mwnanchi....15 march 2011 Mtume...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
A man, sitting outside his home about to be evicted from his house, was contemplating how the future would be.. He had divorced his wife, lost his children, lost his job. He notices a crate of...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
aagiza wastaafu wa jumuiya ya africa mashariki walipwe mara moja,na pia amtaka mkullo akaze buti kwenye makusanyo ya mapato...thanx to loliondo atleast someone is coming back to his senses
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mama mkwe: Binti samahani lakini,kusema kweli Huyu mtoto hafanani na kijana wangu kabisa. Binti:Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy. :gossip:
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajf naomba mnitajie majina matatu ya jaji mkuu, na katibu wa bunge. Sina nia mbaya naomba tu anayefahamu anijuze maana hii ni moja ya faida za jf.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
My friend kanitumia email hii (Msijesema sijasema meitoa wapi bure...) A famous heart specialist doctor died and everyone was gathered at his funeral. A regular coffin was displayed in front...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Mzee wakichaga uvumilivu umemshinda, baada ya kupigia hesabu mia tanotano za babu, kaingiwa na uchu kaamua kumtoa kijana wake wa pekee mwanafunzi kwenda kwa babu na kudai eti ni mtoto wa babu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
chonde chonde Mods. wanasema samehe 7 x 70
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mbona kila anaetetea dawa za huyu Babu wa LOLIONDO anaonekana kama ni mpenzi au Mkereketwa wa CDM? maana wote wanaotetea hiyo dawa ukifuatilia post zao nyingi utaona wameshabikia CDM!!! Sasa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dear Staff, Due to the current financial situation caused by the worldwide slowdown of economies, since the being of 2008, Management has decided to implement a scheme to put workers of 30 plus...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme ya Dowans, tayari imeshauzwa nje (Cyprus) kinachosubiriwa sasa ni kumalizika kwa taratibu za kimahakama dhidi ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thread sounds catchy eeh? I'm afraid inaweza kuhamishwa kwa sababu it does not reasonate with the mentality ya watu humu which is quite rather sad Nakumbuka the old JF used to have the likes of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A SECTION of some Tanzanians, who were kidnapped by Somalian Pirates, wait for some protocol at Julius Nyerere International Airport (JNIA) after arriving safely in Dar es Salaam on Tuesday...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A young man was planning to get married and asked his doctor how he could tell if his bride is a virgin. The doctor said, 'Well, you need three things. A can of red paint, a can of blue paint and...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mzee mmoja wa kichagga tajiri kwa jina la MDAWA alipata ajali mbaya sana ya gari. Alipoteza fahamu na kupelekwa KCMC huku matumaini ya kupona yakiwa yametoweka kabisa. Kutokana na juhudi za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa yawezekana hata hili giza ni nguvu za giza..baada ya kamati ya makamba kutoa ushauri wake na kugusia wah waende loliondo kuombewa na babu..hivi sasa kuna mpango maalum wa menejiment...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu nilisoma naye shule ya msingi nikakutana naye jana na kuniambia ya kuwa kazi yake ni kuwafundisha wanyama mbalimbali jinsi ya kuongea na hata kupokea simu ndipo akanipa namba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom