A guy had a bad case of hemorrhoids, so he decided to go see his doctor.
The doctor says, "It's not too bad, you just need to put these suppositories up your ass. I'll give you the first dose, and...
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digrii ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae...
Kama ilivyo kawaida yao, wao husema ni siasa au tumetumwa na vyama vya siasa.Ni kama miezi miwili tangu chuo cha elimu, chuo kikuu cha dodoma kifanye mgomo juu ya madai yao ya msingi kama...
Jamaa aliposa msichana hajawahi kuguswa na mwanamume Akaambiwa mahari milioni 5.
AKASEMA KWA MSHAHANGO>Hee milioni 5?Wakati hapo jirani nimeambiwa laki 2 tu tena MWANAMKE MWENYEWE ANA MIMBA (BUY 1...
Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs 750,500 tu. Ghafla majambazi wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho! Wakakusanya Tshs8,945,800 na...
Mnakaribishwa sana kwenye uwanja wa Biafra, Mwalimu Christopher Mwakasege anafundisha kila siku jioni mpaka jumapili ya tarehe 20, 03, 2011. Wote mnakaribishwa sana
SAASA NAOANAA KUNA HATARI YA KUCHELEWA KUNYWA MAJI YA BABU..EWE BOSI WANGU NAOMBA NIKUBALIE LIKIZO YANGU KAMA NILIVYOOMBA ANGALIA HAWA WABUNGE WANAVYOANZA KUPELEKA WATU WAO NA SIE WATUPA SIKU 7...
Kuna kibwagizo cha wimbo mmoja kinaimba ...maisha ni foleni kila siku inasogeaaaa polepole,mwamini Mungu ipo siku utafanikiwaaa eee...nikiwa nausikia mwimbo huu napata furaha na uchungu kwa pamoja...
Katika hotuba zake zote nilizowahi kusoma na kuzisikia, sijawahi kuona Rais Jakaya Kikwete hata siku moja akitamka neno "mafisadi." Hata neno ufisadi nalo limekuwa ni nadra sana kutamkwa na...
Heshima zenu wakuu,
Nimekua nikifuatilia sana habari za babu yetu wa loliondo kwa karibu sana na nimejifunza mambo meengi sana baada ya babu yetu huyu kupewa 'maono' na kikombe cha 'uponyaji'.
Mim...
Ndugu mpendwa ukiwa mmoja wa wapendwa wanaoamini dawa kutoka kwa Mungu ya bwana Ambilikile tumeona mpaka sasa serikali aijaonyesha uwezo wake halisi kumsaidia babu huyu ikiwemo kusaidia miundo...
Natafuta Rafiki wa kudumu.
Awe na sifa hizi:
1.Mpole na mwenye hekima
2.Mcha mungu
3.Mrefu, mrembo na mtulivu
4.Afahamu vyema uhalisi wa maisha ya kitanzania
5.Awe na kazi,na elimu...
It really amazes me how the whole nation can be fooled to believe that there is a cup that can cure several stubborn diseases (AIDS, diabetes, Pressure, etc) just by drinking it. Fellow Tanzanians...
MTOTO; Baba niletee glass1 ya maji ya kunywa,
BABA; pumbavu unawazimu? Hebu njo ufate mwenyewe.
MTOTO; Niletee bwana.
BABA; Nitakuja hapo nikuchape vibao oooho!
MTOTO; Basi ukiwa unakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.