JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
:laugh:
0 Reactions
0 Replies
886 Views
BILLY- Tafadhari Njoo Nyumbani saa 2 usiku hakutakuwa na mtu. Stella akaenda saa 2 usiku kwa kina BILLY lakini hakukuta mtu hata BILLY mwenyewe hakuwepo. Je tatizo lilikuwa nini hapo? Lugha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
The Good Little Girl
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jamaa alienda kwenye maduka pale Mnazi Mmoja na kupaki gari lake,kulikuwa na mlinzi akamwambia 'niangalizie gari nikija nitakupa mia tano',baada ya dakika kumi mlinzi akamfuata kwenye duka na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na kauli zake za hovyo na vitendo vyake visivyoendana na umri na cheo alicho nacho, nina mtunuku huyu bwana udaktari wa heshima, naye aheshimiwe na wapuuzi wenzake wanaovaa nguo na kofia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana wa JF tumsaidie wapi akapate tiba. Tupo ofisini, kati ya wafanyakazi wote mwarabu yupo moja. Tatizo alilonalo ni hili. Kuna gari inasomba waste product kwa karo njee. Sisi wote tunalalamika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Marehemu amesoma mpaka chekechea. alipofikisha umri wa miaka 18 marehemu alijiunga na kundi la ujambazi. marehemu kafa kwa ngoma. Mungu amlaze Jehanum..........!!! Je kuna jirani yako wasifu kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Siku moja PUNDA alikutana na Simba faragha kutoa malalamiko yake kuhusiana na wanyama wengine juu yake, mazungumzo yalikuwa hivi: Punda: Wenzangu wanadai eti mimi sio MWEREVU ndio maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UTAMU wa nyama ya mtu umemponza mzee wa Mpanda anadai ni tamu lakini polisi hawakukubaliana naye wakaamua kumtia mbaroni. Eti alifundishwa na babu yake kwamba akiona polisi wanaenda kumkamata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu maswali ya methali swali; bandu bandu..... Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay swali: Mtaka cha uvunguni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Zamani tulikuwa tunacheza ki baba na mama,alafu tunafanya matusi kinguo nguo,siha ash sihhaah....!af tunaambiana na kesho eeee....! wewe ulikuwa unafanyaje?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
A famous American preaching couple (Mr & Mrs Stumbles) resorted to using a Mr. Hamisi for translation once they failed to get a proper bi-lingual local in Lamu ..... the preaching had the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
siku moja baba yake john alikukuta wine yake nyumbani imepungua ikiwa na maana kwamba kuna mtu aliikunywa basi baba john akamuita john akiwa jikoni na kuumuliza 'john nani amekunywa wine yangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dad I want to marry Chisoni DAD: No ways my son, Chisoni is your sister, her father was working in Lusaka so I had a relationship with her Mum and She gave birth to Chisoni, but please...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sijui mtu gani aliniletea message hii; ni ya siku nyingi kidogo lakini naona si vibaya iwapo nitawagawia kidogo sehemu ya message hiyo;
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
2K Views
haya wale watumiaji tunazidi kuwaletea bidhaa mwanana ...enjoy
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama inavyojulikana mwanamke anapokuwa pregnant kama 7months hivi huwa haweki kabati ndani(v.i.p).sasa mama mmoja alikuwa preg hakuwa amevaa hiyo kitu,mtoto wake mdogo akawa ameona kunako na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom