JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna tetesi kuwa raia asiye na hatia wa nchi jirani aliuawa na mashabiki wa cdm ambao wengi wao ni vibaka. Raia huyo alikuwa amekuja kibiashara hivyo alikuwa na pesa. Inaaminika aliuawa kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nadhani hawa washikaji ni wazuri zaidi ya Biadamu ktk vita.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali imeshatoa ajira kwa walimu wa shahada na stashahada,(fungua web.ya wizara),kazi kwenu sasa,mjiandae kwenda kigoma, lindi,sumbawanga na kwingineko kote kulitumikia taifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kijiji kimoja kuna jamaa alizaliwa na mbupu moja, hivyo akapewa jina la utani 'jiwe moja'. Huyu jamaa akawa hapendi kuitwa Jiwe Moja na alipokuwa kijana akaahidi kuwa mtu akimwita Jiwe Moja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A first-grade teacher was having trouble with one of her students. The teacher asked the boy, "What is your problem?" The boy answers, "I'm too smart for the first-grade. My sister is in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DOKTA;-Unaumwa nini shida yako? MGONJWA;-Nikikosa Pombe na fegi sigara silali nitumie dawa gani DOKTA:-Nakuandikia dawa nenda Bar ilio karibu na nyumbani kwako utanunua hizo dawa :puke:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpita njia - "Za asubuhi mzee" Mkulima - "Naokota maembe" Mpita njia - "Watoto hawajambo" Mkulima - "Naokota moja moja" Mpita njia - "Basi mzee, mchana mwena" Mkulima - "Pumbavu mwenyewe, ala!"
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mtendeni alipiga picha ya pamoja na wanafunzi wote wa shule yake, akasafisha kopi kibao na kuhamasisha watoto wote wanunue. Akapiga debe akisema:- "Hebu fikiria...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
A friend of mine forwarded this to me. It might make you laugh as well There were two nuns... One of them was known as Sister Mathematical (SM), and the other one was known as Sister Logical...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Magufuli, kama kicha cha habari kinavyosema, nimependa hii kitu na nna-uhakika Japan mtumba wa hii kitu hautofika hata Dollar elfu mbili, sasa baba yale matuta uliosema yaondolewe, naona jamaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dada mmoja anamwambia mumewe"Juma ananitongoza ninamkatalia lakini hasikii"(mume)"mkatalie tu"(mke)"nimemkatalia lakini kasema atanidondoshea laki tano,nikiokota tu atakuwa kamaliza"(mume)"aa kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
dereva mmoja mbongo wa magari ya masafa mara baada ya kufika namanga mpakani na nchi jirani ya kenya, alipata hamu ya kujiliwaza na mamsap wa kikamba wakati wakiwa kwenye kisiwa cha malavidavi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MMh Jamani Hebu iteni Mjumbe wa nyumba kumi kumi... huu ugomvi hauhitaji polisi..... Ila huyu Bibie naye mmh .. we mpaka tembo wa porini kaangusha nae MOJA MOJA... kweli hapa mwaga ugali ninywe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unusual "safety certificate" from the 1940s Mark Frauenfelder at 10:32 PM Thursday, Jan 13, 2011 Christine of Feetlips writes: "This sits on top of my vanity. I found it at a flea...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Wana jamii naomba msaada wenu ati BORA KAZI KULIKO MKE?
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ralph and Edna were both patients in a mental hospital. One day while they were walking past the hospital swimming pool. Ralph suddenly jumped into the deep end. He sank to the bottom of the pool...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Polisi walikuwa wanaranda kutafuta baa ambazo hazijafungwa saa sita usiku. Mara wakaiona baa moja ina wateja. Walipoingia pale, walevi karibu wote wakakimbia isipokuwa mmoja aliyelewa sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katikati ya baa, mwana mama mmoja mlevi akapaza sauti. "Hivi, kuna mwanamume gani hapa anayeweza kunifanya nijisikie mwanamke kikweli kweli?" Mlevi mmoja (dume) akavua shati na kumtupia. "Haya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom