BILLY- Tafadhari Njoo Nyumbani saa 2 usiku hakutakuwa na mtu.
Stella akaenda saa 2 usiku kwa kina BILLY lakini hakukuta mtu hata BILLY mwenyewe hakuwepo.
Je tatizo lilikuwa nini hapo? Lugha...
Kuna jamaa alienda kwenye maduka pale Mnazi Mmoja na kupaki gari lake,kulikuwa na mlinzi akamwambia 'niangalizie gari nikija nitakupa mia tano',baada ya dakika kumi mlinzi akamfuata kwenye duka na...
Kutokana na kauli zake za hovyo na vitendo vyake visivyoendana na umri na cheo alicho nacho, nina mtunuku huyu bwana udaktari wa heshima, naye aheshimiwe na wapuuzi wenzake wanaovaa nguo na kofia...
Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku...
Wana wa JF tumsaidie wapi akapate tiba. Tupo ofisini, kati ya wafanyakazi wote mwarabu yupo moja. Tatizo alilonalo ni hili. Kuna gari inasomba waste product kwa karo njee. Sisi wote tunalalamika...
Marehemu amesoma mpaka chekechea.
alipofikisha umri wa miaka 18 marehemu alijiunga na kundi la ujambazi.
marehemu kafa kwa ngoma.
Mungu amlaze Jehanum..........!!! Je kuna jirani yako wasifu kama...
Siku moja PUNDA alikutana na Simba faragha kutoa malalamiko yake kuhusiana na wanyama wengine juu yake, mazungumzo yalikuwa hivi:
Punda: Wenzangu wanadai eti mimi sio MWEREVU ndio maana...
UTAMU wa nyama ya mtu umemponza mzee wa Mpanda anadai ni tamu lakini polisi hawakukubaliana naye wakaamua kumtia mbaroni. Eti alifundishwa na babu yake kwamba akiona polisi wanaenda kumkamata...
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu maswali ya methali
swali; bandu bandu.....
Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay
swali: Mtaka cha uvunguni...
Zamani tulikuwa tunacheza ki baba na mama,alafu tunafanya matusi kinguo nguo,siha ash sihhaah....!af tunaambiana na kesho eeee....!
wewe ulikuwa unafanyaje?
A famous American preaching couple (Mr & Mrs Stumbles) resorted to using a Mr. Hamisi for translation once they failed to get a proper bi-lingual local in Lamu ..... the preaching had the...
siku moja baba yake john alikukuta wine yake nyumbani imepungua ikiwa na maana kwamba kuna mtu aliikunywa basi baba john akamuita john akiwa jikoni na kuumuliza 'john nani amekunywa wine yangu...
Dad I want to marry Chisoni
DAD:
No ways my son, Chisoni is your sister, her father was working in
Lusaka so I had a relationship with her Mum and She gave birth to
Chisoni, but please...
Kama inavyojulikana mwanamke anapokuwa pregnant kama 7months hivi huwa haweki kabati ndani(v.i.p).sasa mama mmoja alikuwa preg hakuwa amevaa hiyo kitu,mtoto wake mdogo akawa ameona kunako na...