Habar ndugu zangu!
Hii meme imetrend sana na inafurahisha kimsingi ,
Bas tushare love na furaha kwa kutupia comments zinazohusian na hiyo meme
Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
- Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu.
Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives...
Hi guys!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23] tarehe 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi, tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini (kwa wakubwa...
Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi?
Ukielewa hii methali basi itakusaidia sana:
1. Kuepukana na tamaa.
2. Itakusaidia kufurahia mafaniko ya wengine bila kuwaonea wivu wala kuwachukia.
3. Itakupa nguvu ya kuongeza jitihada ili...
Wakuu Leo weekend yangu ya pili nakunywa haka ka kitu mulua kabisa Cha ajabu asubuhi ipo poa sana na nimeona wakuu hapa wanaagiza kama zote vile .
K-vant na konyagi zimepigwa teke kitaa watu na...
Habari Wakuu!!
Lengo La Uzi Huu Ni kutupia Maswali Ya Kijinga Na Mmoja ana Jibu Kipumbavu Mfano.
Mtu Anakukuta Unakula Anakuuliza Ebana Naona Upo Unakula ... unamjibu Hapana Naosha Vyombooo
Jamaa...
Tanzania nchi ambayo kufa kwa mawazo ni kujitakia mwenyewe.
Siku za karibuni kumeibuka katuni zikiwaonesha watu watatu huku mmoja kati yao akiwa Kalala kwenye machela kukiwa na swali "KAFANYAJE...
Maswali yafuatayo mteule anapaswa kujiuliza katika siku hizi za mwisho.
Mteule...
1. Kwanini uhangaike na chumvi ya upako wakati wewe ni chumvi ya dunia? (Math. 5:13).
2. Kwanini uhangaike na...
Wakuu,
Hali imekua mbaya sana. Shemeji yenu amefikia critical point yaani ananisaka kwa kila mbinu. Ikipita saa tu atauliza UKO WAPI?
Sasa kwani ndio nimekua mateka wake au? Maana hata sielewi...
Latest 2022 Ranking of Countries with the most Beautiful Women
1. Ethiopia ๐ช๐น
2. Rwanda ๐ท๐ผ
3. S A๐ฟ๐ฆ
4. Eritrea ๐ช๐ท
5. Somalia ๐ธ๐ด
6. Kenya ๐ฐ๐ช
7. DR Congo ๐จ๐ฉ
8. Zimbabwe ๐ฟ๐ผ
9. Ivory Coast๐ฎ๐ช
10...
Kafumania
Kafumaniwa
Presha ya Mkopo wa benki
Furaha ya Kupata ajira
Kaibiwa
Katuma ela nauli afu hajafika
Kaibiwa ela ya kamati ya harusi
Au kafanyaje?
Miaka mingi iliyopita kuna jamaa kwenye ukoo wetu ambaye alikua vizuri kiuchumi alikua na mahusiano ya kimapenzi na dada yetu. Inshu ilipelekea wazazi wa pande zote kutokua na maelewano kabisa...
Nikipanda kwa gari lazima nilale tena usingizi mkali hata kama ni daladala
Hata nilale saa2 kuamka n saa4 au saa4:30
Tatizo n kubwa nilienda hospital wakasema labda uchovu
Natibuje tatzo la hivi?