JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi. Karibuni tuelezane mambo (facts) mbali mbali kutuhusu sisi, ambazo sio kila mtu anazijua. Mimi naanza. 1. I am a Coma survivor. Nilipata ajali ya gari na nikaa coma kwa muda wa wiki mbili...
27 Reactions
276 Replies
15K Views
Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90', Ncyinc, Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze...
2 Reactions
75 Replies
3K Views
Mtu anapoanza kujitegemea, huanza na basic needs kwanza, yaani kitanda, vyombo vya kulia na kupikia(hapa inajumuisha jiko).... baada ya hapo ndo mtu huanza kununua vitu vingine anavyo penda yeye...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Kwema! Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili. Mimi naanza: Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani? Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie? Hivi rice cooker inapikia wali peke...
9 Reactions
289 Replies
20K Views
Je pamoja na wengi kuweka picha zisizo zao na user name anuai kuna uwezekano Wa ganda la kitabu kusadifu maudhui Mfano Mjingamimi Miss natafuta Heaven sent Smart911 Stable woman Kapeace...
6 Reactions
120 Replies
6K Views
Umeenda nyumbani kwa mtu, halafu unakutana na toto sumbufu balaa! Hamjawahi kuonana, lakini limeshakuzoea... Unakuja mwenyewe labda umechomekea shati, nini!! Linaanza kukurukia rukia, mara...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ebwana nimekumbuka baadhi ya majina ya wadau niliopata kuwafahamu kipindi cha nyuma. Wengine walikuwa waalimu zangu, majirani zangu etc. Ila sikumbuki kabila zao na maana ya majina yao...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Mimi bwana naomba niwape shavu watu hapa JamiiForums ambao wamenisaidia kwa namna moja ama nyingine Nafaka PETRO E Mselewa mjingamimi oneb @wangari upo wapi Mnaweza kuongezea list zenu waliotoa...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Hellow JF Kuna haka katamaduni unakuta mfano mpo kwenye sherehe wageni waalikwa mumeenda kuchukua msosi buffet ya maana kabisa sahani imejaaa kwenye kula sasa ataanza na aina nyingine nyingine...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wewe ni mbaba au mmama...
3 Reactions
7 Replies
512 Views
  • Closed
Ni kilugha tu mwenye mfanano wa lugha na wewe ataunga tera, "mwakashina watua" Cc Zero IQ.
7 Reactions
498 Replies
39K Views
Because I love you U always in ma mind Ma heart, ma soul . . . I just wanna be Close to you! Hii naileta kwako wewe rafiki. Mbali ya kuwa ina maneno mengi mazuri hasa kwa wale waliojidhatiti...
16 Reactions
123 Replies
18K Views
Niulize chochote, kuhusu lolote. Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika. Sitokutukana, nitakujibu kwa upole Karibuni.
6 Reactions
726 Replies
58K Views
Mfano umempiga manzi sound, afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Mtu akitaka kuanzisha club, ni vitu gani mnaangalia mpaka mpapende
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…