Tujuzane sehem mbalimbali ambazo baadhi mwapendelea kwenda ku refresh kidogo katika Weeknds ama ata pia Weekdays, Pengine tunaweza kujumuika siku moja moja.
Mimi kwa upande wangu napenda...
Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya.
"Kwani IST...
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora...
Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85%
Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza.
Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm...
Chombezo : Biringanya La Mwalimu Sehemu Ya : Kwanza (1)
2 Apr
IMEANDIKWA NA: UNKNOWN
**********
Siku Ziliendelea kukatika kwa kasi Sana
Si unajua tena siku hazigandi..
Hatimaye , Graduu...
Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya...
Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18
Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono...
Msomi huyu wa mzumbe kasoma pale na kupata elimu yake mzumbe alicho jifunza ni hiki ambacho ana kifanya leo kwenye macho ya watu Mwijaku siku akiambiliwa alambe mwiko sifikiri kama atajiuliza sana...
MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR JF
Ikiwa ndio leo siku ya kwanza ya msimu rasmi wa sikukuu wa mwaka 2024~2025.
Sina budi kwanza kumshukuru Mungu kwa niaba ya wote wataouona ujumbe huu. Pia...
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka...
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.
2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema...
Hapa wana mazingira wanaona madhara ya matumizi ya chakula chenye makeni ambacho sasa kinakimbiliwa na wanyama.
Wahuni wanaona panya mwizi.
Waporini wanaona nyama
Na ma legend wa IT wanaona...
Mabibi na mabwana napenda kuitambulisha kwenu Avatar yangu mpya ambayo nitaitumia kwa mwaka 2025 nakuendelea.
Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kutumia Avatar hii mahali popote pale bila idhini...
Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF.
Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na...