JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama mnavyojua maisha ni safari ndefu sana yenye mabonde na milima lakini katika maisha kuna muda ukifika ni lazima ujifunze kufanya maamuzi magumu ambayo yatabadilisha maisha yako bila kujionea...
4 Reactions
7 Replies
36K Views
Maeneo mengine duniani, kuanzia tarehe moja mwezi ujao wanakuwa wako mapumzikoni na wapenzi au wapendwa wao; kwa waliojipanga vizuri, wataenda hata nchi ya mbali akiwa na mwenzi wake au familia...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Wala sihitaji kuwasalimia, baadhi yenu mnatukera hasa sisi tunaoishi kwa Mpalange, kila jambo baya kwa Mpalange. Yaani ukisema unaenda kwa Mpalange jamii inakuchukulia tofauti. Sasa naomba...
5 Reactions
45 Replies
11K Views
Ukitaka kujenga kiwanda cha Pombe nenda Moshi, utaokoa gharama kubwa za usambazaji. Jafari Shekanabo Shekifu na Mrindoko Mchome Senkoro walijitolea kukusanya damu nchini kusaidia vitengo vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi na kumbuka mwaka 2001 ulitokea mgomo shule FFU/Polisi walikuja watu tukakimbilia poroni tulilala kule Hadi asubuhi. Mwalimu naemkumbuka Sana; 1.Mwango boy 2.Danda Kosovo Na yule dereva wa...
2 Reactions
2 Replies
328 Views
1. Ukiona mdada mzuri sana mtaan au uswahili anafanya kazi haieleweki ama kazi ya kuumiza au kuungua sana na jua. Jiulize maswali mengi sana wengi wanakua ni lost souls either kaungua ama alipata...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama...
15 Reactions
27 Replies
3K Views
Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Ifuatayo ni hadithi ya mapenzi, ikimhusisha msichana Mwasiti na watu wanne wa taaluma tofauti; mwimbaji, mvuvi, mganga na mwindaji. Waliishi kijijini kando ya mto. Mwasiti kijijini alipendwa kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza, Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na...
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu, Hapa tufanye challenge kidogo, ambaye comment yake haitokuwa na reply kwa siku nzima atapata vocha ya 10k. Sitanii Twende kazi nb. mpaka sasa sijaona reply empty bila kupata reply ya...
6 Reactions
643 Replies
26K Views
HABARI Wadau muwazima Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Nipo hapa Kahama, nataka kijuzwa kiwanja kizuri cha kupotezea mawazo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natamani kesho niwe Mwanza kwa ajili ya kushangaa mawe, samaki, pamoja na ziwa, lakini bado kupata connection; vipi wakuu watoto wazuri wapo huko?
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Mambo niaje wanaJF ni matumaini yangu nyote ni wazima na wasio wazima basi twazidi kuombeana. Basi bila kupoteza wakati sote tunajua katika maisha kuna wakati hutokea tuu inakubidi ubadilike ili...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo Ratiba iko very simple. Nikianza na code leo natupia kipensi fulani afu juu namaliza na form six rangi white Sasa chini nakupigia socks yenye rangi ya mjani chini kabisa sendo brand Nike aka...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Gari langu, tafuta lako.
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…