Baada ya siku yenye msongamano wa mambo tafadhali punguza msongo wa mawazo hivi
1. Mabata madogo madogo yanaogelea, yana ogelea, katika shamba zuri la bustani.
2. Yanapenda kutembea bila viatu...
Baada ya kupiga funda mbili za kinywaji kilichopo mbele yangu, nainua macho taratibu kuangalia uelekeo wa mlango wa kuingilia ndani ya eneo/ ukumbi nilimo. Ghafla namwona dada mmoja mrefu wastani...
Huu Ni uzi wangu maalumu kwa ajili yangu kupost kila jambo nitakalokuwa nalifanya katika dunia ili kuweka kumbukumbu ya safari ya maisha yangu na jinsi ninavyopokea maelekezo kutoka kwa...
Kidogo shule na hesabu ilinipiga chenga hii ni shilingi ngapi ya kitanzania inasomeka kama shilingi ngapi ya Kitanzania?
Tsh 16,652,246,906,926.83
Inasomekaje kwa maneno? Nimeshindwa kwa kweli
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka...
Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life.
Please Who can help me...
Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
Wengi humu hatujuani lakini tunafanya imagination tu kwamba mtu fulani atakuwa wa ivi sana sana imagination inakujia kutokana na majina wanayotumia watu, avatar na michango ya mhusika.
Leo...
Yaan hapa nimechanganyikiwa hatari
Nilikuwa natoka natoka hapa mitaa ya mabibo hostel naelekea riverside.mbele kidogo nikaona kifungashio cheusi kando kidogo ya barabara kinaonesha kama kina kitu...
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion )
Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya...
Ingekuwaje kama...
1. Binadamu akila chakula mara moja halitena mpaka mwisho wa maisha yake
2. Muda wote upo macho hamna usingizi
3. Jua wala umeme haupo duniani
4. Viumbe wote ni jinsia moja...
Niaje wakulugwa.....!!
Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana.
Mfano...
Wadau sijui mmwliona hili yaani jijini Dar Magari ya aina ya IST na HARRIER BLACK yamekuwa mengi sana jijini Dar..we chunguza utashangaa..cijui kuna nini
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...ππ
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa π§ββοΈπ§βπ§ββοΈ.
Nirudi kwenye kichwa cha habari sasaππ..
Aise wakuu bhana kila nikinywa...