Mapenzi sijui mahusiano sio poa ...
Mara yule anataka aolewe wakati uwezo wa kuishi na mtu sasa bado kama kijana ....mimi mwenyewe tu hapa pasi ndefu kawaida ....kila siku swali hilo hilo ooh...
Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya π―π―
Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali
Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress...
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa...
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend...
Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!.
Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi...
TUISHI NAO KWA HEKIMA SANA NDIVYO VITABU VYA MUNGU VILIVYOTUAGIZA
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!
MUME: Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi...
Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi..
Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa..
Sasa...
Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn. Mekutana na mtu anaitwa George n. Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke.
Nyie nimeview profile ya George jamani am...
Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi?
Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila...
Zifuatazo ni kabila na kazi za Kambale kama angekuwa binadamu:-
Mmakonde β angechonga na kukeleza vinyago kwa sababu ana brashi mkiani, polish mwilini, msasa utosini, krampu mdomoni na msumeno...
Kupitia uzi huu kila mtu aeleze anasumbuliwa na tatizo gani au anasumbuliwa na Maradhi au maumivu gani ..na tuelekezane njia za za kutatua
Shida YAKO ya leo ,,,,ni shida ya mwenzio ya jana,,,na ni...
Kwanza niwape pongezi kwa kuwa wavumilivu kwenye uchumba wenu na kumaliza harusi yenu salama.
Lingine nilishindwa kupata wasaa wa kuhudhuria kwenye shughuli hiyo nawaomba radhi kwa hilo.
Na la...