Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike...
Kila mitandao ya kijamii kuna jamhuri zake.mfano ukija instagram ni fake life na kila picha za mastaa utaona simu kageuza ili mradi ufahamu kuwa hana macho matatu aka iphone na umbeya.
Sasa...
Maisha ya hapa Duniani Ni Kama vile Kuna mashine fulani tunaingia na kusagwa mmoja mmoja au tufanye Kama Ni samaki unamtega unamvua anakuangalia tu unampika bado tu anakutolea macho ndio kifo kipo...
Habari wana MMU.
Kwa wale wanaotumia hii App au kama unaifahamu ni kwamba unaweza kujua kwamba mtu kama anatumia simu wakati gani na mara mwisho kuitumia ilikuwa muda gani.
Lengo la...
Wanabody embu tufanye kamchezo kamoja hapa. Unamuuliza mpenzi wako boyfriend /girlfriend hili swali Swali linasema hivi "bby Do you think buttom up economy is really sustainable as to compare to...
Salamu sana wana CC wote,
Nilisikia hii kitu BBC, nimeitafuta nimepata moja;
Naomba wale wenye barua nyingine waziweke hapa;
Kweli Mzee Mandela alikuwa na mapenzi ya ajabu...
Kuna watu wanapita JF unabaki kujiuliza ni watu wa aina gani.
Kuna huyu mwamba alitokea. Kila akianzisha uzi anaanza na "Mimi ni yule kijana ambaye nimetahiriwa hivi karibuni😀😀" sijui alikuwa...
Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana.
Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh...
Ki pekee nashukuru jf leo kwa kunitunuku cheo hichi cha jf expert member ambacho nilikuwa nakitamani kwa muda mrefu sasa najiona ni member rasmi baada ya kujiunga toka mwaka 2020.Je wewe member...
Mwana Flani wa facebook kanivutia Uzi ohhh mambo vp bro ..
Nakubali kazi zako Nini ...
Tuwe friends Moja na mbili nikasema fresh
Mara kauliza ohhh unaish wap nikamwambia kino , akasema dahhhh...
Ila wabongo bhana! Ety humu ndani kuna mtu anawaza kwenda kumtambulisha binti mwenye tatoo nyumban kwao, ety watamchukuliaje!! Wakati kaka yangu alioza kwa mdada mwenye upaa na midevu, mapengo na...
Tarehe 24 ya mwezi wa nane niliomba maelekezo kwa msichana mmoja hivi demu wangu!! Akanikubalia tukakubaliana tuimalizie kwao. Dah!! Kama huna bahati ni huna tu, tukakutwa na maza mtu, alisukuma...
wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za...
Nadhani hujabahatika kukutana na magwiji Hawa wawili wakiwa nje ya jukwaa letu pendwa.
Jumamosi iliyopita nilibahatika kuonana nao mitaa ya Kasumulo wakijiandaa kuvuka mpaka kwenda Lilongwe...