Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.
Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni...
nilikuwa naonaga wivu sana nikionaga watu waapiga miluzi kila nikijaribu siwezi
mpo disco zinapigwa ngoma Kali unasikia wahuni wanapiga miluzi Pye pyeeeeeee mpaka raha ila nikirajibugi siwezagi...
Habari wadau,
Recently nimepata kimuhemuhe cha kutaka kutembelea DRC(sio kwa biashara ila ni kwa ajili ya utalii uchwara)
Nifanye road trip mpaka nitokee upande wa pili wa nchi kule kwenye...
Habarini wakuu leo naingia Musoma mjini hapo mpaka sasa ndio nipo Igoma Mwanza nategemea kuingia saa 3 hivi nipo na private car
Naomba kuelekezwa Hotel nzuri za kulala bajeti yangu 40,000/=na...
Habari za mda huu?
Naomba kuuliza kwa wale ndugu zangu wapenda Tungi siku ya Kwanza kununua beer unywe
Ulijiskiaje? achana na mwanzo za kujifunzia za sherehe siku ya Kwanza kutoa pesa mfukoni...
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu
Ni ama wewe utazaliwa mwanaume au mwanamke
Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama,
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili...
That LOVE! [emoji120]
Consistency + Commitment, PAYS off.
Good morning FAMILIA... Leo pia ni siku, thanks, and let's do this.. may the name of the God of Jacob protect you. Psalm 20:V 1.. I and I
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili...
Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia:
"Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa...
WHAT'S IN A NAME
================
President Idi Amin once wanted to change the name of Uganda to "Idi".
Except for one man, Maliyamungu, everybody else who was close to him feared to challenge...
Inakuwaje wakuu.....
Wakuu ukweli ni kwamba hakuna binaadamu alietaka kuja duniani lakin tunajishtukia tu tumeshakuja duniani
Swali ssa linalonifanya kila siku nitafakari
Kwanini watu tunaogopa...
Jamani naombeni mnijuze Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kama hizo silver zipo huwa zinamajina gani.
Pia sent moja ya dollar sawa na cent ngapi ya shilling?
Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka...
Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa...