Huu Mji kweli una mambo!
Nilipokuwa nasubiri daladala kuelekea kwenye mishe zangu, nikaona mwanamke mwenye mwenye matako makubwa halafu kiuno ni kama dondora. Eeeh! Sikujua anaelekea wapi maana...
1. Ni lazima ukiwa unakunywa hata chai kikombe 1 cha mia, akipita jirani sharti umkaribishe.(Huu ni unafiki, je kama akifika kula kweli, na una kikombe kimoja?)
Na hapo ni kwenye kula tu, je...
One day there was this little boy named Johny he had to go to the bathroom so he raised his hand and asked the teacher "can I go to the bathroom." she said no.
Then 5 mins later he raised his hand...
Aisee nmejigundua nna tabia moja mbaya sana, yaani nikipata hela fulani (naongelea kwa mimi bachela ambaye sina hata mtoto wa kusingiziwa)
Yaan nikipata tu cha kwanza nikitoa mambo mengne...
Nakusogezea baadhi ya vifupi (Abbreviation) mbalimbali ambavyo ulikua unavifahamu au huvifahamu..
Enjoy.
NewsPaper - North East West South Past and Present Report
Chees - Chariot horse elephant...
Salamu baadae.
Sku hizi RIP zimekuwa nyingi mtaani hata huku. jf wanautaratibu wa kuweka hio status kwenye profile yako pale unapofariki na taarifa wanazipata kutoka kwa watu wa karibu. Sasa...
@gentemycine - u mach noo mwingi. Kujiona yeye bora kuliko wengine na mashauzi ya hapa na pale.
FaizaFoxy- udini, u CCM na ujuaji mwingi.
mshana jr- hamble, intelligent and gentleman
BAK, - very...
-Mbulula
-Kugegeda
-Wazee wa buku saba(hii ni maarufu kule jukwaa la siasa)
-Mtaani kwetu(Katika jukwaa lilee la mambo yetu)
-Dhaifu
-Napita
-Mods
........
.........
Ongezea misemo...
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Hakuna kitu kibaya kama
Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnyaπππ
Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyukuπ π
kukataliwa...
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kumuuliza muuzaji,
"Una kuku?"
Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma...
John Sanga alikuwa mwanafunzi mwenye kipaji cha uchoraji. Siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu darasani. Mwalimu alipoingia darasani aliiona noti ile na, katika kuikimbilia...
Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao?
Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha...